RASHID PEMBE: Gwiji wa saxophone aliyelala na gitaa Sokoni Kariakoo Dar
JINA la Rashid Pembe si geni machoni na masikioni mwa wengi. Ni mwanamuziki mashuhuri katika upulizaji wa saxophone, utundu ambao umemfanya apate umaarufu mkubwa ndani na nje ya nchi. Pembe...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMPIGA GITAA MAARUFU WA SKYLIGHT BAND CHIRI CHALLA AZIKWA JIJINI DAR
11 years ago
Dewji Blog20 Apr
Mpiga Gitaa maarufu wa Skylight Band marehemu Chiri Challa azikwa Jijini Dar
Waombolezaji wakiwa msibani Jana kushoto mwenye tisheti nyeusi ni Mratibu wa Skylight Band
William Malecela akijadili jambo na Mkurugenzi wa Skylight band Justine Ndege ili kuweka mambo sawa kabla ya Mwili wa marehemu kuwasili.
Baadhi ya waombolezaji wakibadilishana mawazo Katikati ni Mwanamuziki wa Skylight band Joniko Flower.
Waombolezaji wakiendelea kubadilishana mawazo wakati wakisubili mwili wa marehemu Kufika,Mwenye Baibui nyeusi ni mke wa Chicago Matelephone na wanamuziki wa...
9 years ago
Bongo509 Oct
Mwanamke wa Kichina maarufu kama ‘Malkia wa Pembe za Ndovu’ akamatwa nchini akisafirisha pembe zenye thamani ya £1.62m
10 years ago
Michuzi17 Dec
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-WHzRVzpI8pk/VTyW2ArZOWI/AAAAAAAHTWQ/RZPryQB9J0E/s72-c/I0000mvLrZtLR6TE.jpg)
JUST IN: gwiji la ukombozi wa afrika kusini brigedia jenerali hashim mbita afariki dunia leo dar es salam
![](http://2.bp.blogspot.com/-WHzRVzpI8pk/VTyW2ArZOWI/AAAAAAAHTWQ/RZPryQB9J0E/s1600/I0000mvLrZtLR6TE.jpg)
Habari zilizotujia hivi punde zinasema Brigedia Jeneral Mstaafu Hashim Mbita aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Kamati ya Ukombozi ya uliokuwa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU), amefariki dunia asubuhi hii katika hospitali kuu ya jeshi ya Lugalo jijini Dar es salaam.
Mzee Mbita atakumbukwa Tanzania, bara zima la Afrika na dunia kwa jumla kama kamanda mahiri aliyeshiriki kikamilifu katika uondoshaji wa utawala wa ukoloni barani Afrika, hususan utawala kidhalimu wa makaburu Zimbabwe na Afrika...
5 years ago
BBCSwahili21 Jun
Mwafrika aliyelala mitaani Uingereza akiwa ni ujauzito wa miezi saba.
10 years ago
Dewji Blog22 Aug
Libeneke jipya la habari za Kariakoo ‘Kariakoo Digital’
Naomba kutambulisha kwenu tovuti mpya ya www.kariakootz.com inayofahamika kama Kariakoo Digital Ambayo imejikita katika kukusanya orodha ya maduka ya wafanyabiashara wa Kariakoo pamoja na bidhaa wanazouza, mawasiliano yao na mitaa wanayopatikana na kuyaweka sehemu moja ili kukupa urahisi wa kutafuta bidhaa unayohitaji.
Sasa unawaweza kuokoa muda na pesa zako kwa kutumia tovuti hii mpya ya www.kariakootz.com kupata orodha ya maduka mengi yanayouza bidhaa kariakoo kisha unaweza kuwasiliana...
11 years ago
GPLLEILA RASHID AKIWADATISHA MASHABIKI WA DAR LIVE
5 years ago
BBC28 Mar
Manu Dibango: The saxophone legend who inspired a disco groove