Mwafrika aliyelala mitaani Uingereza akiwa ni ujauzito wa miezi saba.
Sarah Kamati alikua na mimba kubwa wakati yeye na mpenzi wake walipokataliwa na mfumo wa uhamiaji nchini Uingereza.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
Bongo514 Feb
Serena Williams alitwaa ubingwa akiwa na ujauzito
Mchezaji nguli wa tennis namba moja kwa sasa duniani, Serena Williams amejitangaza kuwa ni mjamzito kupitia Snapchat. A
Habari hizi zinaonyesha kwamba, Serena alikua Mjamzito wa wiki nane, pale alipotwaa ubingwa wa Tennis katika Mashindano ya Australian Open, jijini Melbourne mnamo January mwaka huu.
Mwanadada huyo mwenye miaka 35 aliweka picha yake akiwa amejipiga picha kwenye kioo na kuandika 20 weeks yaani, majuma 20 kisha akaifuta hiyo post.
Iwapo itathibitika kwa hakika kuwa ni...
11 years ago
Tanzania Daima05 Jul
UJAUZITO WIKI YA SABA: Viungo muhimu vyaanza kujitokeza
KAMA ungekuwa unamuona mtoto anayeendelea kukua tumboni katika wiki hii, jambo kubwa ni kuanza kujitokeza kwa viganja vya mikono na miguu. Hata hivyo, mwonekano wake ni kama upawa wa kupigia...
9 years ago
MillardAyo28 Dec
Video ya mzee aliyesafiri kwa miezi saba pekeyake baharini kutoka Marekani..
Kwenye vitu ama stori ambazo zimeonekana kukamata vichwa vya habari vya kimataifa kwa saa kadhaa mfululizo pamoja na mitandao mikubwa, iko pia stori ya mzee mwenye umri wa miaka 53, jina lake ni John Beeden. Mzee Joe alianza safari yake San Francisco Marekani siku ya June 1 2015 akiwa na boti yake ndogondogo na kufanikiwa kufika Jiji la […]
The post Video ya mzee aliyesafiri kwa miezi saba pekeyake baharini kutoka Marekani.. appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Bongo511 Nov
Picha: Model atembea akiwa mtupu mitaani Hong Kong bila watu kugundua!
![model1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/model1-300x194.jpg)
Mwanamitindo mmoja ameonekana akikatiza mitaa ya jiji la Hong Kong, China akiwa mtupu kuanzia kiunoni hadi chini pasipo watu kugundua kutokana na kuchorwa mfano wa jeans katika mwili wake sehemu hiyo ya chini.
Akiwa amevaa nguo ya juu iliyoandikwa ‘No pants are the best pants’ kwa nyuma, alionekana akipishana na watu mitaani, kwenye treni sehemu za kutolea pesa na kwingine bila watu kumshitukia.
Tazama picha zake;
11 years ago
Tanzania Daima14 Feb
RASHID PEMBE: Gwiji wa saxophone aliyelala na gitaa Sokoni Kariakoo Dar
JINA la Rashid Pembe si geni machoni na masikioni mwa wengi. Ni mwanamuziki mashuhuri katika upulizaji wa saxophone, utundu ambao umemfanya apate umaarufu mkubwa ndani na nje ya nchi. Pembe...
10 years ago
Tanzania Daima26 Oct
Akiwa Waziri Mkuu eti wapigwe tu, akiwa rais si atasema wachinjw
MOJA ya wosia wa Baba wa Taifa Julius Nyerere ni kutaka wanaoutamani urais wa nchi kujitokeza mapema ili wananchi wapate muda wa kutosha wa kuwatambua, kuwafahamu na kuwajadili. Alisema hivyo...
11 years ago
GPL‘MR UWAZI’ AGAWA ZAWADI SABA SABA KWA WASOMAJI
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-vJSIy1Pqgjo/U7uU8hmEjJI/AAAAAAAFxK0/uv4d2CTrQpY/s72-c/5.jpg)
SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LATOA HUDUMA MBALIMBALI MAONESHO YA SABA SABA
![](http://1.bp.blogspot.com/-vJSIy1Pqgjo/U7uU8hmEjJI/AAAAAAAFxK0/uv4d2CTrQpY/s1600/5.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-iGVUpPsN1NA/U7uU7Lj7vaI/AAAAAAAFxKk/WK24NqoEFS4/s1600/1.jpg)