Serena Williams alitwaa ubingwa akiwa na ujauzito
Mchezaji nguli wa tennis namba moja kwa sasa duniani, Serena Williams amejitangaza kuwa ni mjamzito kupitia Snapchat. A
Habari hizi zinaonyesha kwamba, Serena alikua Mjamzito wa wiki nane, pale alipotwaa ubingwa wa Tennis katika Mashindano ya Australian Open, jijini Melbourne mnamo January mwaka huu.
Mwanadada huyo mwenye miaka 35 aliweka picha yake akiwa amejipiga picha kwenye kioo na kuandika 20 weeks yaani, majuma 20 kisha akaifuta hiyo post.
Iwapo itathibitika kwa hakika kuwa ni...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili08 Sep
Serena Williams bingwa US Open
10 years ago
BBCSwahili18 Mar
Serena Williams atinga nane bora.
5 years ago
SB Nation20 Mar
Serena Williams is struggling with coronavirus anxiety, too
10 years ago
BBCSwahili19 Mar
Serena Williams afuzu nusu fainali
9 years ago
BBCSwahili02 Oct
Serena Williams kupumzika kwa mwaka
9 years ago
Bongo509 Oct
Drake akanusha uvumi kuwa amemchumbia Serena Williams
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Serena Williams alivyotangazwa mwanamichezo bora wa mwaka 2015…
Serena Williams katangazwa kuwa mwanamichezo bora wa mwaka 2015, katika hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Pier 60 uliopo New York City, ulihudhuriwa pia na dada yake Venus Williams, mlezi wao ambaye ni kocha wao Oracene Price, Will Smith na wengine. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka […]
The post Serena Williams alivyotangazwa mwanamichezo bora wa mwaka 2015… appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
Tanzania Daima02 Jun
Ni French Open ya maumivu kwa Serena, Venus Williams
KIVUMBI cha michuano ya French Open, kimeendelea kutimka ambako kwa upande wa wanaume, Tomas Berdych jana alitinga hatua ya robo fainali. Tomas alitinga hatua hiyo kwa ushindi wa 6-4 6-4...