Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video ya mzee aliyesafiri kwa miezi saba pekeyake baharini kutoka Marekani..

Kwenye vitu ama stori ambazo zimeonekana kukamata vichwa vya habari vya kimataifa kwa saa kadhaa mfululizo pamoja na mitandao mikubwa, iko pia stori ya mzee mwenye umri wa miaka 53, jina lake ni John Beeden. Mzee Joe alianza safari yake San Francisco Marekani siku ya June 1 2015 akiwa na boti yake ndogondogo na kufanikiwa kufika Jiji la […]

The post Video ya mzee aliyesafiri kwa miezi saba pekeyake baharini kutoka Marekani.. appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Wavuvi saba Watanzania wawekwa karantini baada ya kuokolewa baharini Kenya

Wavuvi wa saba raia wa Tanzania waliookolewa baada ya boti yao kupinduka katika bahari ya hindi siku tatu zilizopita wamewekwa karantini.

 

11 years ago

Michuzi

KUTOKA SABA SABA LEO:TTCL KUZINDUA KITUO KIKUBWA CHA KUUZIA INTERNET AFRIKA MASHARIKI

 Afisa Biashara Mkongo wa Taifa wa mawasiliano,Bwa.Thomas Lemunge akielezea kuhusiana na Mkongo wa Taifa wa mawasiliano unavyofanya kazi, mapema leo ndani ya maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea hivi sasa jijini Dar Es Salaam.
Bwa.Thomas amebainisha kuwa Mkongo wa Taifa wa mawasiliano umekwisha sambaa maeneo mengi ikiwemo mikoa 21 ya Tanzania mpaka sasa,Amesema kuwa Makampuni yote ya ndani yanatumia mkongo huu wa mawasiliano kupeleka huduma kwa wananchi na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mwafrika aliyelala mitaani Uingereza akiwa ni ujauzito wa miezi saba.

Sarah Kamati alikua na mimba kubwa wakati yeye na mpenzi wake walipokataliwa na mfumo wa uhamiaji nchini Uingereza.

 

11 years ago

GPL

TASWIRA KUTOKA MSIBANI KWA MZEE SMALL

Waombolezaji wakiwa na simanzi nyumbani kwa marehemu Said Ngamba 'Mzee Small' aliyefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa jijini Dar es Salaam. Dada ya marehemu Mzee Small, Sauda Ngamba akiwa na majonzi baada ya kuondokewa na kaka yake.…

 

11 years ago

KwanzaJamii

Safari ya Wakulima Kutoka ‘Saba Saba’ Dar 1977 Hadi ‘Nane Nane’ Dodoma 2014

Na Daniel Mbega, Iringa NAUKUMBUKA mwaka 1978 vizuri sana, kwani wakati huo nilikuwa bado kijana mdogo, nikiwa nimetinga lubega, sime kiunoni, fimbo mkono wa kulia na mkuki mkono wa kushoto, nikichunga ng’ombe huko ‘Tanganyika’, ambako maendeleo ndiyo kwanza tulikuwa tukiyasikia kupitia Redio Tanzania (kwa wale waliokuwa na redio za mkulima). Maendeleo ulikuwa msamiati mgeni kabisa, huku zikiwa kama simulizi ambazo hazikuwa na tofauti na zile za akina babu walizokuwa wakitupigia nyakati za...

 

11 years ago

GPL

KUTOKA MSIBANI KWA MAREHEMU MZEE SMALL TABATA

  Mke wa marehemu Mzee Small, Bi. Fatuma Said akiwa na simanzi nzito.   Wasani Jumanne Shabaan 'Made Matata', Mbembe (katikati) na Habib Mrisho 'Sumaku' (kulia) wakijadiliana jambo msibani.…

 

10 years ago

Bongo Movies

KAZI MPYA: Kutoka Kwa Wolper na Mzee Majuto

Tukiwa unaelekea ukingoni mwa mwaka 2014 , Waigizaji Jackline Masawe “Wolper”na King  Majuto wameonekana wakiwa mzigoni kutengeneza kitu kipya. Mwanadada Wolper  aliidondosha picha hii na kuandika “New Movie with majuto dady”

Ingawa bado jina la movie  halijawekwa hadharani, pamoja na lini movie hiyo itatoka, mashabiki wengi mitandaoni wameonyesha kutegemea kazi nzuri kutoka kwa hawa watu kwani ni waigizaji wenye uwezo na uzoefu mkusana.

Je wewe wategemea movie ya namna gani kutoka kwa...

 

5 years ago

Michuzi

Wataalamu Kutoka Wizara Nne Yawasili kwa Mzee Kisangani

Timu ya wataalamu wakiwa ofisini kwa Mkuu wa Wilaya ya Ludewa. Katikati ni Mkuu wa Wilaya hiyo Andrea Tsere akifafanua jambo kwa Wajumbe wa Kamati. Wa nne kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati Prof. Silvester Mpanduji ambae ni Mkurugenzi Mkuu wa SIDO.Wajumbe wa Kamati wakinawa Maji na sababu kama sehemu ya kujikinga na COVID-19 kwenye Lango la kuingilia...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti CCM Marekani afungwa miezi 18

Mwenyekiti wa CCM wa tawi la Texas, Houston nchini Marekani, Simon Makangula amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja na nusu jela na kulipa faini ya zaidi ya Sh92.4 milioni kwa kosa la kughushi nyaraka za ulipaji wa kodi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani