Wataalamu Kutoka Wizara Nne Yawasili kwa Mzee Kisangani
Timu ya wataalamu wakiwa ofisini kwa Mkuu wa Wilaya ya Ludewa. Katikati ni Mkuu wa Wilaya hiyo Andrea Tsere akifafanua jambo kwa Wajumbe wa Kamati. Wa nne kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati Prof. Silvester Mpanduji ambae ni Mkurugenzi Mkuu wa SIDO.Wajumbe wa Kamati wakinawa Maji na sababu kama sehemu ya kujikinga na COVID-19 kwenye Lango la kuingilia...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziKamati kutoka wizara nne iliyoundwa na waziri Biteko yamkubali mzee Kisangani
Na Amiri kilagalila,Njombe
Watanzania wametakiwa kuona fursa zilizopo nchini na kutumia ubunifu walionao ili kuzitumia rasilimali hususani madini yaliyopo nchini na kuinuka kiuchumi.
Wito huo umetolewa na Prof.Silvester Mpanduji mkurugenzi mkuu wa shirika la viwanda vidogo (SIDO) na mwenyekiti wa kamati ya wajumbe tisa kutoka wizara nne,wizara ya madini,wizara ya nchi ofisi ya makamu wa Rais muungano na mazingira,wizara ya viwanda na biashara pamoja na wizara ya ofisi ya Rais tawala za mikoa...
5 years ago
MichuziTIMU YA WATAALAM TISA KUTOKA WIZARA NNE YAUNDWA KUTIMIZA NDOTO YA MJASIRIAMALI KISANGANI YA KUWA BILIONEA
TIMU ya wataalam 9 kutoka Wizara ya Madini, Wiziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Wizara ya Viwanda na Biashara na Wiziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) imeundwa ili kumsaidia Mjasiliamali wa miaka 60 kutoka mkoani Njombe wilaya ya Ludewa, Reuben Mtitu maarufu Mzee Kisangani ili kutimiza ndoto yake ya kuwa bilionea baada ya kubuni kiwanda kinachotengeneza zana zinazotokana na madini ya chuma.
Kamati hiyo imeundwa...
5 years ago
MichuziKAMATI YA WATALAAM TISA ILIYOUNDWA KWA AJILI YA KUTIMIZA NDOTO YA MZEE KISANGANI YATUA WILAYANI LUDEWA
Na Shukrani Kawogo
WAJUMBE wa Kamati ya Wataalamu tisa iliyoundwa na mawaziri wanne kutoka Wizara mbalimbali ili kumsaidia mzee Reuben Mtitu (Mzee Kisangani) kuweza kupanua kiwanda chake kwa kupata malighafi, eneo kubwa, pamoja na vitu muhimu ambavyo vitamsaidia kukuza kiwanda hicho imewasili wilayani Ludewa mkoani Njombe ambapo itafanya kazi hiyo kwa muda wa siku 15.
Kamati hiyo iliundwa Machi 30 mwaka huu na Waziri wa Madini Dotto Biteko, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na...
5 years ago
MichuziBiteko - Nitasimama na Mzee Kisangani mpaka asimame
Waziri wa Madini Doto Biteko amesema kumekuwa na kasumba ya kuwathamini wageni kutoka nje ya nchi kuliko wazawa wenye ubunifu na uthubutu katika kazi zao, wakati wageni kutoka nje wanakuja na mtaji mdogo na mwisho wa siku huondoka na utajiri mkubwa.
Yamesemwa hayo leo tarehe 14 Machi, 2020 akiwa ziarani mkoani Njombe alipotembelea mradi wa kiwanda cha kuzalisha zana mbalimbali zinazotokana na madini ya chuma kinachomilikiwa na Reuben Mtitu maarufu Mzee Kisangani
Biteko...
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA PETROGAS YAENDESHA MAFUNZO YA UANDAAJI WA MAPENDEKEZO YA MIRADI KWA WATAALAMU WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI
5 years ago
Michuzi11 years ago
GPLTASWIRA KUTOKA MSIBANI KWA MZEE SMALL
11 years ago
GPLKUTOKA MSIBANI KWA MAREHEMU MZEE SMALL TABATA
10 years ago
Bongo Movies19 Dec
KAZI MPYA: Kutoka Kwa Wolper na Mzee Majuto
Tukiwa unaelekea ukingoni mwa mwaka 2014 , Waigizaji Jackline Masawe “Wolper”na King Majuto wameonekana wakiwa mzigoni kutengeneza kitu kipya. Mwanadada Wolper aliidondosha picha hii na kuandika “New Movie with majuto dady”
Ingawa bado jina la movie halijawekwa hadharani, pamoja na lini movie hiyo itatoka, mashabiki wengi mitandaoni wameonyesha kutegemea kazi nzuri kutoka kwa hawa watu kwani ni waigizaji wenye uwezo na uzoefu mkusana.
Je wewe wategemea movie ya namna gani kutoka kwa...