Biteko - Nitasimama na Mzee Kisangani mpaka asimame
Na Issa Mtuwa – Ludewa
Waziri wa Madini Doto Biteko amesema kumekuwa na kasumba ya kuwathamini wageni kutoka nje ya nchi kuliko wazawa wenye ubunifu na uthubutu katika kazi zao, wakati wageni kutoka nje wanakuja na mtaji mdogo na mwisho wa siku huondoka na utajiri mkubwa.
Yamesemwa hayo leo tarehe 14 Machi, 2020 akiwa ziarani mkoani Njombe alipotembelea mradi wa kiwanda cha kuzalisha zana mbalimbali zinazotokana na madini ya chuma kinachomilikiwa na Reuben Mtitu maarufu Mzee Kisangani
Biteko...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
Kamati kutoka wizara nne iliyoundwa na waziri Biteko yamkubali mzee Kisangani
Na Amiri kilagalila,Njombe
Watanzania wametakiwa kuona fursa zilizopo nchini na kutumia ubunifu walionao ili kuzitumia rasilimali hususani madini yaliyopo nchini na kuinuka kiuchumi.
Wito huo umetolewa na Prof.Silvester Mpanduji mkurugenzi mkuu wa shirika la viwanda vidogo (SIDO) na mwenyekiti wa kamati ya wajumbe tisa kutoka wizara nne,wizara ya madini,wizara ya nchi ofisi ya makamu wa Rais muungano na mazingira,wizara ya viwanda na biashara pamoja na wizara ya ofisi ya Rais tawala za mikoa...
5 years ago
Michuzi
Wataalamu Kutoka Wizara Nne Yawasili kwa Mzee Kisangani


5 years ago
Michuzi
KAMATI YA WATALAAM TISA ILIYOUNDWA KWA AJILI YA KUTIMIZA NDOTO YA MZEE KISANGANI YATUA WILAYANI LUDEWA
Na Shukrani Kawogo
WAJUMBE wa Kamati ya Wataalamu tisa iliyoundwa na mawaziri wanne kutoka Wizara mbalimbali ili kumsaidia mzee Reuben Mtitu (Mzee Kisangani) kuweza kupanua kiwanda chake kwa kupata malighafi, eneo kubwa, pamoja na vitu muhimu ambavyo vitamsaidia kukuza kiwanda hicho imewasili wilayani Ludewa mkoani Njombe ambapo itafanya kazi hiyo kwa muda wa siku 15.
Kamati hiyo iliundwa Machi 30 mwaka huu na Waziri wa Madini Dotto Biteko, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na...
5 years ago
Michuzi
TIMU YA WATAALAM TISA KUTOKA WIZARA NNE YAUNDWA KUTIMIZA NDOTO YA MJASIRIAMALI KISANGANI YA KUWA BILIONEA
TIMU ya wataalam 9 kutoka Wizara ya Madini, Wiziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Wizara ya Viwanda na Biashara na Wiziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) imeundwa ili kumsaidia Mjasiliamali wa miaka 60 kutoka mkoani Njombe wilaya ya Ludewa, Reuben Mtitu maarufu Mzee Kisangani ili kutimiza ndoto yake ya kuwa bilionea baada ya kubuni kiwanda kinachotengeneza zana zinazotokana na madini ya chuma.
Kamati hiyo imeundwa...
5 years ago
Michuzi
Sekta ya Madini kuzalisha mamilionea – Waziri Biteko
Waziri wa Madini Doto Biteko amesema kuwa Serikali kupitia Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Tume ya Madini inaendelea kuhakikisha inawawezesha wachimbaji na wafanyabiashara wa madini ili waweze kuwa mamilionea huku Serikali ikipata mapato yake kutokana na kodi mbalimbali na kuinua Sekta ya Madini.
Waziri Biteko aliyasema hayo leo tarehe 12 Machi, 2020 kwenye ziara ya Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini iliyofanyika katika machimbo ya mawe ya nakshi Ntyuka, Soko...
5 years ago
MichuziBiteko amesema imetosha kuhusu Mchuchuma na Liganga
Waziri wa Madini Doto Biteko wa pili kushoto akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christophher Ole Sendeka wakati wa ziara yake mkoa humo wakiwa wilayani Ludewa.
Sehemu ya Wananchi kijiji cha Mundindi wilayani Ludewa wakimsikiliza Waziri wa Madini Doto Biteko hayupo pichani wakati wa kikao cha hadhara.
Waziri wa Madini Doto Biteko kushoto na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christophher Ole Sendeka wakiwasikiliza wananchi hawapo pichani wakati wa kikao katika kijiji cha Mundindi wilayani Ludewa ...
5 years ago
Michuzi
Biteko aitaka kampuni ya Noble Helium kuharakisha mradi


Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya (kulia) akibadilishana mawazo na wager Jennines baada ya kikao baina ya wizara na kampuni ya Noble Helium kuhitimishwa.

Waziri wa madini, Doto Biteko (mbele), Naibu waziri, Stanslaus Nyongo ( kushoto) na Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya (kulia) wakijadili jambo mara baada ya kikao baina ya wizara na kampuni ya Noble...
5 years ago
Michuzi
Biteko ataka mchango sekta ya madini kutazamwa vinginevyo

Jengo jipya litakalotumiwa na wafanyabiashara wa madini mkoani Geita ambalo lilijengwa kwa fedha za huduma kwa jamii (CSR) zilizotolewa na Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGML) na kusimamiwa kwa ushirikiano baina ya mgodi huo na Halimashauri ya Mji wa Geita. (Picha na Wizara ya Madini).

5 years ago
CCM Blog
WAZIRI BITEKO ATAKA MCHANGO SEKTA YA MADINI KUTAZAMWA

“Niliwaambia wenzangu wizarani, lazima tuhame sasa kwenye mfumo wa kufurahia kuona mapato yameongezeka kutokana na ukusanyaji wa maduhuli twende kwenye mfumo wa kujiuliza je? Sekta ya madini imechangiaje ukuaji wa sekta...