Biteko aitaka kampuni ya Noble Helium kuharakisha mradi
Wajumbe wakipeana mikono mara baada ya kikao baina ya wizara na kampuni ya Noble Helium kwisha.
Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya (kulia) akibadilishana mawazo na wager Jennines baada ya kikao baina ya wizara na kampuni ya Noble Helium kuhitimishwa.
Waziri wa madini, Doto Biteko (mbele), Naibu waziri, Stanslaus Nyongo ( kushoto) na Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya (kulia) wakijadili jambo mara baada ya kikao baina ya wizara na kampuni ya Noble...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziMGALU AITAKA EWURA KUHARAKISHA UANDAAJI KANUNI KWA WAWEKEZAJI BINAFSI WA UMEME
Hafsa Omar-PwaniNAIBU Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, imeitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji(EWURA) kuharakisha uandaaji wa kanuni ambazo zitatumika kudhibiti bei za umeme ambazo zitatumiwa na wawekezaji binafsi wa umeme nchini.
Ameyasema hayo, Februari 20,2020 wakati alipokuwa akijibu maswali mbalimbali ya wananchi ambao walikuwa wakilalamikia bei kubwa ya umeme wanaotozwa na Mkandarasi wa kampuni ya Husk Power iliyopo katika kijiji cha Matipwili kata Mkange, Wilaya ya...
5 years ago
MichuziWakandarasi Watakiwa kuharakisha mradi, kukabidhi kwa wakati
Amesema mradi huo ambao ulianza kutekelezwa mwezi machi mwaka 2018 na kutakiwa kukamilika na kukabidhiwa Mwezi Mei 31 mwaka huu, mradi huu ulitakiwa use umekamilika kwa asilimia 62 %lakini bado unasuasua kwani kwa sasa...
9 years ago
Dewji Blog14 Sep
How To Win A Noble Globe Award 2015?
Nobel Globe Award
Every year at Beyond Hunger: A Place at the Table—our annual event to raise awareness and critical resources for marginalized women and their families worldwide—we take the opportunity to honor those who have taken action to help bring self-reliance and hope to those affected by hunger, climate change and poverty with the Noble Globe award.
So just how can you get your hands on a Noble Globe? Here are a few things outstanding individuals like actress Diane Lane, chef Tom...
10 years ago
VijimamboWatanzania wa UK wagomea mradi mchafu wa kukaguliwa magari yao na kampuni binafsi.
Mwanzo wa yote nataraji kuwa wote mko salama na mnaendelea vyema na uchapaji kazi kama kawaida.
Rejea kichwa cha habari hapo juu,tunaomba mtu peperushie hii habari ili wahusika wajue kitu wanachokifanya sio sawa na wasijaribu kutuburuza bila kutumia busara na kufuata sheria.
Ukitazama kwenye attachment utaona tangazo la TBS ambalo wanatangaza kuanzia tarehe 16/03/2015.Kuna kampuni binafsi inayomilikiwa na watanzania hapa Uk,ambao wanasemekana wameshinda...
10 years ago
MichuziWAZIRI CHIZA AKUTANA NA KAMPUNI YA UJENZI MRADI WA KUZALISHA UMEME KINYEREZI III
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA AVIC TOWN YAANZA KUUZA NYUMBA ZAKE ILIYOZIJENGA MRADI WA KIBADA JIJINI DAR
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
11 years ago
MichuziKampuni ya BG Tanzania na shirika la Africare Tanzania wazindua Mradi wa Kuwawezesha Vijana Mkoani Mtwara
Kampuni ya BG kwa kushirikiana na Kampuni ya...
10 years ago
MichuziSHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC) LAKABIDHIWA MRADI WA USIMIKAJI WA HUDUMA YA MKONGO WA TAIFA NA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA (TTCL)
10 years ago
MichuziBODI YA MRADI WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI GEREZA KIGONGONI - BAGAMOYO,SHIRIKA LA MAGEREZA NA KAMPUNI YA TARBIM WAKUTANA LEO MJINI BAGAMOYO