Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RATIBA YA KUAGA MWILI LEO NA MAZISHI YA ROBERT VICTOR LENGEJU

Familia ya Lengeju wa Kipera Mkoani Morogoro na Dar es Salaam inapenda kuwatangazia ndugu jamaa na marafiki wote wa marehemu ROBERT VICTOR LENGEJU na Familia ya LENGEJU kuwa kijana wao mpenda aliyefikwa na umauti Novemba 10, 2014 katika Hospitali ya TMJ baada ya kuugua kwa muda mfupi anataraji kuzikwa kesho Alhamisi nyumbani kwao Kijiji cha Kipera, Kata na Tarafa ya Mlali Wilayani Mvomero mkoa wa Morogoro.
Kipera ipo mbele kidogo ya Chuo Kikuu cha Mzumbe.
Mwili wa marehemu ROBERT LENGEJU,...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MSIBA WA NDUG.ROBERT VICTOR LENGEJU

Familia ya Lengeju wa Kipera Mkoani Morogoro wanasikitika kutanga kifo cha mdogo wao ROBERT VICTOR LENGEJU kilichotokea mchana wa leo katika Hospitali ya TMJ Dar es Salaam.
Mipango ya mazishi inafanyika Nyumbani kwa kaka yake Charles Lengeju, Njia panda Airport jijini Dar es Salaam.

Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki wote wa familia ya Lengeju na wakazi wa Kipera mkoani Morogoro. 
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.

 

10 years ago

Vijimambo

TANGAZO LA MSIBA WA NDUG.ROBERT VICTOR LENGEJU

Familia ya Lengeju wa Kipera Mkoani Morogoro wanasikitika kutanga kifo cha mdogo wao ROBERT VICTOR LENGEJU kilichotokea mchana wa leo katika Hospitali ya TMJ Dar es Salaam.Mipango ya mazishi inafanyika Nyumbani kwa kaka yake Charles Lengeju, Njia panda Airport jijini Dar es Salaam.Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki wote wa familia ya Lengeju na wakazi wa Kipera mkoani Morogoro. BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwili wa marehemu Robert Lengeju waagwa Jijini Dar kuzikwa kesho Kipera Morogoro

Hili ndilo sanuku lililouhifadhi mwili wa Mwandishi/Mchambuzi wa Jukwaa Maalumu la MWALE WA DEMOKRASIA katika Gazeti la Raia Tanzania (Gazeti dada la Raia Mwema), kila Alhamisi. Mwili wa shujaa huyo wa Demokrasia uliswaliwa katika Kanisa Katoliki M<simbazi Jijini Dar es Salaam leo.

Watu mbalimbali walihudhuria katika misa hiyo ya kumsindikiza Lengeju katika safari yake ya mwisho kabla ya maziko yatakayo fanyika kesho (Novemba 13,2014) Kijijini kwako Kipera, Kata na Tarafa ya Mlali, Wilaya...

 

10 years ago

Michuzi

MWILI WA MAREHEMU ROBERT LENGEJU WAAGWA JIJINI DAR ES SALAAM KUZIKWA KESHO KIPERA MOROGORO.

Hili ndilo sanduku lililouhifadhi mwili wa Mwandishi/Mchambuzi wa Jukwaa Maalumu la MWALE WA DEMOKRASIA katika Gazeti la Raia Tanzania (Gazeti dada la Raia Mwema), kila Alhamisi. Mwili wa shujaa huyo wa Demokrasia uliswaliwa katika Kanisa Katoliki M&lt;simbazi Jijini Dar es Salaam leo. 
Watu mbalimbali walihudhuria katika misa hiyo ya kumsindikiza Lengeju katika safari yake ya mwisho kabla ya maziko yatakayo fanyika kesho (Novemba 13,2014) Kijijini kwako Kipera, Kata na Tarafa ya Mlali,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya kuaga rasmi mwili wa marehemu Capt. John Damiano Komba leo

Capt John Damian Komba2

Marehemu Capt. John Damiano Komba enzi za uhai wake.

257298487-Ratiba-Ya-Kuaga-Rasmi-Mwili-Wa-Marehemu-Capt-John-Damiano-Komba-Mb-Siku-Ya-Jumatatu-Tarehe-2-Mach… by moblog

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani