TANGAZO LA MSIBA WA NDUG.ROBERT VICTOR LENGEJU
Familia ya Lengeju wa Kipera Mkoani Morogoro wanasikitika kutanga kifo cha mdogo wao ROBERT VICTOR LENGEJU kilichotokea mchana wa leo katika Hospitali ya TMJ Dar es Salaam.Mipango ya mazishi inafanyika Nyumbani kwa kaka yake Charles Lengeju, Njia panda Airport jijini Dar es Salaam.Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki wote wa familia ya Lengeju na wakazi wa Kipera mkoani Morogoro. BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-5KuLcUQN4cM/VGC_OBqgI8I/AAAAAAAAYlg/Xi0gGJZ8e-k/s72-c/RV%2BL.jpg)
TAARIFA YA MSIBA WA NDUG.ROBERT VICTOR LENGEJU
![](http://4.bp.blogspot.com/-5KuLcUQN4cM/VGC_OBqgI8I/AAAAAAAAYlg/Xi0gGJZ8e-k/s1600/RV%2BL.jpg)
Mipango ya mazishi inafanyika Nyumbani kwa kaka yake Charles Lengeju, Njia panda Airport jijini Dar es Salaam.
Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki wote wa familia ya Lengeju na wakazi wa Kipera mkoani Morogoro.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.
10 years ago
Vijimambo12 Nov
RATIBA YA KUAGA MWILI LEO NA MAZISHI YA ROBERT VICTOR LENGEJU
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F4.bp.blogspot.com%2F-5KuLcUQN4cM%2FVGC_OBqgI8I%2FAAAAAAAAYlg%2FXi0gGJZ8e-k%2Fs1600%2FRV%252BL.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
Kipera ipo mbele kidogo ya Chuo Kikuu cha Mzumbe.
Mwili wa marehemu ROBERT LENGEJU,...
10 years ago
Dewji Blog12 Nov
Mwili wa marehemu Robert Lengeju waagwa Jijini Dar kuzikwa kesho Kipera Morogoro
Hili ndilo sanuku lililouhifadhi mwili wa Mwandishi/Mchambuzi wa Jukwaa Maalumu la MWALE WA DEMOKRASIA katika Gazeti la Raia Tanzania (Gazeti dada la Raia Mwema), kila Alhamisi. Mwili wa shujaa huyo wa Demokrasia uliswaliwa katika Kanisa Katoliki M<simbazi Jijini Dar es Salaam leo.
Watu mbalimbali walihudhuria katika misa hiyo ya kumsindikiza Lengeju katika safari yake ya mwisho kabla ya maziko yatakayo fanyika kesho (Novemba 13,2014) Kijijini kwako Kipera, Kata na Tarafa ya Mlali, Wilaya...
10 years ago
Michuzi12 Nov
MWILI WA MAREHEMU ROBERT LENGEJU WAAGWA JIJINI DAR ES SALAAM KUZIKWA KESHO KIPERA MOROGORO.
Watu mbalimbali walihudhuria katika misa hiyo ya kumsindikiza Lengeju katika safari yake ya mwisho kabla ya maziko yatakayo fanyika kesho (Novemba 13,2014) Kijijini kwako Kipera, Kata na Tarafa ya Mlali,...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-vB5vx8zHAEE/U56oMw9twbI/AAAAAAAAj5Q/uUa1pjQyDYA/s72-c/unnamed.jpg)
TANGAZO LA MSIBA
![](http://3.bp.blogspot.com/-vB5vx8zHAEE/U56oMw9twbI/AAAAAAAAj5Q/uUa1pjQyDYA/s1600/unnamed.jpg)
MAZISHI YATAKUWA SIKU YA ALHAMISI YA TAREHE 18/6/2014 SAA 10 JIONI MAKABURI YA KINONDONI DAR ES SALAAM,
IBADA YA MISA ITAFANYIKA KANISA LA KATOLIKI MUHIMBILI SAA 7 MCHANA NA HESHIMA ZA MWISHO ZITATOLEWA HAPO.
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA NAMBA...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Ynq7GV_Qzss/U2Z3BzYhEJI/AAAAAAAFfWk/t0WkZq4_Y18/s72-c/unnamed+(55).jpg)
Tangazo la Msiba Philadelphia na New York
![](http://3.bp.blogspot.com/-Ynq7GV_Qzss/U2Z3BzYhEJI/AAAAAAAFfWk/t0WkZq4_Y18/s1600/unnamed+(55).jpg)
Kwa maana hiyo na kwa sababu msiba huu umetokea ghafla na kwa sababu ni Mtanzania mwenzetu tunaomba tusaidiane ili tuweze kufanikisha shughuli za msiba huu...
10 years ago
VijimamboTangazo la msiba Marekani na Tanzania:
Familia ya Mang'ulo na ndugu Isaac Kibodya wanasikitika kutangaza kifocha bwana Abbas Khalfani Mang'ulo (68) ambaye ni baba mzazi wa KhajatSwalha Kibodya, mke wa bwana Isaac Kibodya kilichotokea Bagamoyo,Tanzania. Mazishi yamefanyika leo mchana huko Msata, Mkoa waPwani. kwa hapa Marekani msiba upo nyumbani kwa bwana na bibi Kibodya58 Vail Street, Springfield, Mass. Dua imepangwa kufanyika JumapiliJulai 19 Masjid Al Baqi 148 Fort Pleasant Avenue, Springfield, Masskuanzia saa 10...
10 years ago
Vijimambo17 Apr
TANGAZO LA MSIBA DMV NA TANZANIA
Hapa DMV msiba upo 706 Chillum Rd, Apt 201, Hyttsville, MD 20783
Kupena pole na kufarijiana ndio malezi tuliyokulia ikiwemo upendo na ukarimu. Ukipata muda tafadhali pitia nyumbani kwa mfiwa utoe mkono wa pole au unaweza kumpigia simu 301 272 5922
Bwana ametoa, bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-wX_bfcjAKAY/VNj5ty7qwgI/AAAAAAAHCrc/YPlDn7NAZ7w/s72-c/unnamed%2B(17).jpg)
TANGAZO LA MSIBA DAR ES SALAAM
![](http://4.bp.blogspot.com/-wX_bfcjAKAY/VNj5ty7qwgI/AAAAAAAHCrc/YPlDn7NAZ7w/s1600/unnamed%2B(17).jpg)
Mipango ya Mazishi inafanywa nyumbani kwa mtoto wa Marehemu Tegeta Mivumoni Dar es Salaam.
Habari ziwafikie Marko Ruwaichi Lyimo na nduguze wa Kilombero Morogoro, Vera na Jessie Mpanda wa Mwanza , Filex na Ajuae Lyimo wa Marangu Moshi na Eliwangu Jamhuri wa Arusha. Ukoo wa Yobu Lyimo, Shoo wa Machame, Mbuya, Mtui, Makundi ndg jamaa...