TAARIFA YA MSIBA WA NDUG.ROBERT VICTOR LENGEJU

Familia ya Lengeju wa Kipera Mkoani Morogoro wanasikitika kutanga kifo cha mdogo wao ROBERT VICTOR LENGEJU kilichotokea mchana wa leo katika Hospitali ya TMJ Dar es Salaam.
Mipango ya mazishi inafanyika Nyumbani kwa kaka yake Charles Lengeju, Njia panda Airport jijini Dar es Salaam.
Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki wote wa familia ya Lengeju na wakazi wa Kipera mkoani Morogoro.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo10 Nov
TANGAZO LA MSIBA WA NDUG.ROBERT VICTOR LENGEJU

10 years ago
Vijimambo12 Nov
RATIBA YA KUAGA MWILI LEO NA MAZISHI YA ROBERT VICTOR LENGEJU

Kipera ipo mbele kidogo ya Chuo Kikuu cha Mzumbe.
Mwili wa marehemu ROBERT LENGEJU,...
10 years ago
Dewji Blog12 Nov
Mwili wa marehemu Robert Lengeju waagwa Jijini Dar kuzikwa kesho Kipera Morogoro
Hili ndilo sanuku lililouhifadhi mwili wa Mwandishi/Mchambuzi wa Jukwaa Maalumu la MWALE WA DEMOKRASIA katika Gazeti la Raia Tanzania (Gazeti dada la Raia Mwema), kila Alhamisi. Mwili wa shujaa huyo wa Demokrasia uliswaliwa katika Kanisa Katoliki M<simbazi Jijini Dar es Salaam leo.
Watu mbalimbali walihudhuria katika misa hiyo ya kumsindikiza Lengeju katika safari yake ya mwisho kabla ya maziko yatakayo fanyika kesho (Novemba 13,2014) Kijijini kwako Kipera, Kata na Tarafa ya Mlali, Wilaya...
10 years ago
Michuzi12 Nov
MWILI WA MAREHEMU ROBERT LENGEJU WAAGWA JIJINI DAR ES SALAAM KUZIKWA KESHO KIPERA MOROGORO.
Watu mbalimbali walihudhuria katika misa hiyo ya kumsindikiza Lengeju katika safari yake ya mwisho kabla ya maziko yatakayo fanyika kesho (Novemba 13,2014) Kijijini kwako Kipera, Kata na Tarafa ya Mlali,...
10 years ago
Vijimambo03 Jan
Ratiba ya mazishi ya Robert kwa mujibu wa taarifa kutoka kwenye familia ya marehemu

11 years ago
Michuzi.png)
Taarifa ya Msiba
.png)
Marehemu anatarajiwa kuzikwa nyumbani kwake Morogoro siku ya Jumanne tarehe 11/3/2014. Marehemu ataagwa kesho Jumapili...
11 years ago
Michuzi23 Oct
TAARIFA YA MSIBA MINNESOTA
Familia ya ndugu Joel & Janeth Mburu inasikitika kuwataarifu juu ya msiba wa ghafla wa mama mzazi wa Janeth na Godson Gabagambi uliotokea leo hii asubuhi-Karagwe, nchini Tanzania.Mipango ya mazishi inaendelea kufanyika huko Karagwe, Tanzania .
Kwa marekani, Msiba upo nyumbani kwa Ndugu Joel & Janeth Mburu, Minnesota na watu wanakutanika nyumbani hapo kuanzia leo kwa anwani ifuatayo:-5250 Villa WayEdina MN 55436.
Kwa Uingereza ,msiba upo kwa Peter Gabagambi ;61...
11 years ago
Vijimambo02 Nov
TAARIFA YA MSIBA DMV
Kama ilivyo mila na desturi yetu kupeana pole ndio utamaduni wetu hasa katika kipindi hiki kigumu cha Jaffari kumpoteza mpendwa mama yake.
Kwa yeyote anayetaka kutoa mkono wa pole anapatikana katika address hii 5701 UNION BRIDGET CT, BOWIE...
11 years ago
Michuzi22 Jun
TAARIFA YA MSIBA MINNESOTA NA TANZANIA
Tunasikitika kuwataarifu ya kuwa Ndugu yetu na mwanajumuiya mwenzetu Elibariki Mshomi amefiwa na mdogo wake,Robert Mshomi huko Moshi Tanzania.Mazishi yamepangwa kufanyika Jumatatu June 23 2014 nyumbani kwao Moshi. Kama ilivyo kawaida ya desturi yetu,tunaombwa kujitokeza kumfariji ndugu yetu katika kipindi hiki kigumu.
Tutakuwa na Memorial Service,maombi na nafasi ya watu kuleta rambi rambi siku ya jumapili June 22nd 2014 saa kumi na nusu jioni (4.30pm)...