Ratiba ya mazishi ya Robert kwa mujibu wa taarifa kutoka kwenye familia ya marehemu
1. Marehemu atazikwa siku ya Jumatatu tarehe 5 Januari, 2015 katika makaburi ya Kinondoni hapa Dar es salaam kuanzia saa 10 jioni.2. Ibada na kutoa heshima za mwisho kwa marehemu vitafanyika katika Kanisa la Kienjili la Kilutheri lililopo Msasani karibu na Hospitali ya CCBRT. Ibada itaanza itaanza saa 8 kamili mchana.3. Safari ya kupeleka mwili kanisani itaanzia nyumbani kwa marehemu katika nyumba za wafanyakazi Mbezi Beach saa 6 mchana. Safari itaanza baada ya waombolezaji...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Vijimambo12 Nov
RATIBA YA KUAGA MWILI LEO NA MAZISHI YA ROBERT VICTOR LENGEJU

Kipera ipo mbele kidogo ya Chuo Kikuu cha Mzumbe.
Mwili wa marehemu ROBERT LENGEJU,...
10 years ago
Vijimambo
11 years ago
GPL
11 years ago
Michuzi
11 years ago
Michuzi
Ratiba ya Mazishi ya MArehemu Mzee Augustine Cassian Mwingira

11 years ago
GPL
10 years ago
Michuzi
Salam za Rambirambi kutoka kwa Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi kwa Familia ya Marehemu Brigedia Hashim Mbita
