Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ratiba ya Mazishi Marehemu Dkt. William Shija

Marehemu Dkt. William Shija.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Ratiba mazishi ya Dkt. Shija

Dr-William-Shija

Marehemu Dkt. William Shija enzi za uhai wake.

Ratiba ya Mazishi Dr. Shija one.docx by moblog

 

10 years ago

Michuzi

Mwili wa marehemu Dkt William Shija wawasili nchini leo kutoka London, Uingereza

 Mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola Dkt William Shija aliyefariki dunia tarehe 4 Oktoba 2014 umewasili nchini leo. Ndugu, jamaa na marafiki wakimfariji mama Getrude Shija mara alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar Es salaam.  Ndugu, jamaa na marafiki wakimfariji mama Getrude Shija mara alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar Es salaam.Msalaba Sehemu ya waombolezaji. Kwa picha zaidi BOFYA...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MWILI WA MAREHEMU DKT WILLIAM SHIJA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Dkt William Shija alipoongoza shughuli za kuaga leo Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaamRais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole Mama Getrude Shija, Mjane wa  Marehemu Dkt William Shija alipoongoza shughuli za kuaga leo Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaamRais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi kitabu cha maombolezo cha msiba wa  Marehemu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Jakaya Kikwete na Makamu wake, Dkt. Bilal wawaongoza wananchi kuaga mwili wa marehemu William Shija viwanja vya Karimjee Dar leo

1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mrisho Jakaya Kikwete, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dkt. William Shija, wakati wa zoezi la kuagwa mwili lililofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 12, 2014. (Picha na OMR).

2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mrisho Jakaya Kikwete, akiwafariji wanafamilia wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

IBADA MAALUM YA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU DR. WILLIAM SHIJA

Mke wa Marehemu, Mama Getrude Shija (kushoto), akifuatana na Mama Balozi (Joyce Kallaghe), ndugu, jamaa na marafiki, wakiingia kanisani kushiriki Ibada maalum ya kuuaga Mwili wa Marehemu Dk. William Shija.
Mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Commonwealth Parliamentary Association (CPA), Dr. William Shija, aliyefariki dunia Jumamosi ya Tarehe 4 Oktoba 2014, umeagwa rasmi jana katika Ibada maalum iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Vincent de Paulo, Osterley, London.
Ibada hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZZ: Dkt. William Ferdinand Shija afariki dunia

Sekretarieti ya CPA Kanda ya Afrika inasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, (CPA) Dkt. William Ferdinand Shija (pichani) kilichotokea katika Hospitali ya Charring Cross, London Uingereza tarehe 4 Oktoba, 2014.


Taarifa ya kifo chake imekuja wakati ambapo Mkutano wa 60 wa CPA unafanyika Yaoundé, Cameroon.


Dkt. William Shija amefanya kazi kwa takriban miaka 8 kama Katibu Mkuu wa Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola. Amefanya kazi kubwa kwa CPA na ameacha...

 

10 years ago

Michuzi

JK AOMBOLEZA MISIBA YA BRIGEDIA JENERALI MUHIDIN KIMARIO NA DKT WILLIAM SHIJA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Hussein Mwinyi, kuomboleza kifo cha Meja Jenerali Muhidin Kimario, Waziri Mwandamizi wa Zamani wa Serikali na Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (TPDF).

Aidha, Rais Kikwete amewatumia pole nyingi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Davis Mwamunyange na familia ya Meja Jenerali Kimario kufuatia kifo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani