Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RATIBA YA MAZISHI YA MAREHEMU CELINA KOMBANI


Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DK. BILAL AONGOZA MAZISHI YA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS MENEJIMENTI YA TUMISHI WA UMMA MAREHEMU CELINA KOMBANI LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Udongo kwenye kaburi la Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma marehemu Celina Kombani wakati wa mazishi yake yaliyofanyika leo shambani kwake katika kijiji cha Lukobe mkoani Morogoro. (Picha na OMR)Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Shada la maua kwenye kaburi la Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma...

 

9 years ago

Vijimambo

MWILI WA MAREHEMU CELINA O. KOMBANI WAWASILI DAR ES SALAAM LEO JIONI

 Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani  ukitelemshwa baada ya kuwasili jioni hii Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mh. Celina Kombani umewasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa serikali . Tutaendelea kuwafahamisha ratiba kila tutapopata...

 

9 years ago

Michuzi

Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma yaomboleza msiba wa marehemu Celina Kombani


Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma imepata msiba wa kuondokewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Celina O. Kombani (Mb) aliyefariki tarehe 24 Septemba, 2015 katika Hospitali ya Apollo nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu. 
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma inatoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa, marafiki na Serikali kwa ujumla kwa kuondokewa na kiongozi mchapakazi, mwadilifu, mzalendo na aliyekuwa na mapenzi mema na...

 

9 years ago

Michuzi

MWILI WA MAREHEMU CELINA O. KOMBANI WAWASILI DAR ES SALAAM MUDA HUU, WATUMISHI WA OFISI YAKE WAMLILIA

Pumzika kwa Amani mpendwa wetu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Celina O. Kombani (pichani).

Kaimu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. HAB Mkwizu na watumishi wote wa Ofisi ya Rais-Utumishi wataendelea kukukumbuka daima kwa busara zako na uongozi wako mzuri.-------------------------------------------------------------------Wakati huo huo mwili wa Marehemu Celina O. Kombani umewasili muda huu katika uwanja wa ndege wa kimatifa wa...

 

9 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONGOZA WANANCHI KUAGA MWILI WA MAREHEMU CELINA KOMBANI, DAR, KUZIKWA KESHO MOROGORO.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, marehemu Celina Kombani, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika leo Septemba 28, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Marehemu Kombani alifariki Agosti 24 huko nchini India na anatarajia kuzikwa kesho mkoani Morogoro. Picha na OMRMke wa Rais Mama Salma...

 

10 years ago

Michuzi

Ratiba ya Mazishi Marehemu Dkt. William Shija

Marehemu Dkt. William Shija.

 

11 years ago

Michuzi

Ratiba ya Mazishi ya MArehemu Mzee Augustine Cassian Mwingira

Familia ya Marehemu Mzee Augustine Cassian Mwingira kutoka Mjimwema, Kigamboni inasikitika kutangaza kifo cha mpendwa wao, mzee Augustine Cassian Mwingira kilichotokea Jumanne, 27 Mei 2014 ktk Hospital ya Hindu Mandal alipolazwa baada ya kuugua kwa muda mfupi. Msiba upo Nyumbani kwa Marehemu Mjimwema, Kigamboni "Kwa Mwingira".  Ratiba ya Mazishi ni kama ifuatavyo; Ijumaa, 30 Mei 2014 Saa 10 Jioni - Mwili wa Marehemu kuwasili Nyumbani kwake Maweni - Mjimwema, Kigamboni.  saa  11 jioni -...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani