MWILI WA MAREHEMU CELINA O. KOMBANI WAWASILI DAR ES SALAAM LEO JIONI

Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani ukitelemshwa baada ya kuwasili jioni hii Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mh. Celina Kombani umewasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa serikali . Tutaendelea kuwafahamisha ratiba kila tutapopata...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
MWILI WA MAREHEMU CELINA O. KOMBANI WAWASILI DAR ES SALAAM MUDA HUU, WATUMISHI WA OFISI YAKE WAMLILIA

Kaimu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. HAB Mkwizu na watumishi wote wa Ofisi ya Rais-Utumishi wataendelea kukukumbuka daima kwa busara zako na uongozi wako mzuri.-------------------------------------------------------------------Wakati huo huo mwili wa Marehemu Celina O. Kombani umewasili muda huu katika uwanja wa ndege wa kimatifa wa...
10 years ago
Vijimambo
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONGOZA WANANCHI KUAGA MWILI WA MAREHEMU CELINA KOMBANI, DAR, KUZIKWA KESHO MOROGORO.


10 years ago
GPL
MWILI WA WAZIRI KOMBANI WAWASILI DAR
10 years ago
GPL
CELINA KOMBANI KUAGWA LEO DAR
10 years ago
Dewji Blog24 Sep
Waziri Celina Kombani afariki dunia nchini India leo, mwili wake watarajiwa kuwasili nchini JUMATATU
Majonzi makubwa lufuatia taarifa za msiba jioni ya leo Septemba 24.2015, Aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Ompeshi Kombani (56), amefariki dunia leo huko India alikokuwa akipata matibabu ya saratani.
Tayari mamlaka husika ikiwemo Serikali na Bunge kupitia ofisi za Bunge zimethibitisha kifo hicho na kubainisha kuwa, mwili wa marehemu unategemewa kuwasili Tanzania, siku ya Jumatatu, na shughuli zote Bunge na Serikali zitasimamia...
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
VijimamboMAKAMU WA RAIS DK. BILAL AONGOZA MAZISHI YA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS MENEJIMENTI YA TUMISHI WA UMMA MAREHEMU CELINA KOMBANI LEO
10 years ago
Mwananchi27 Sep
Simanzi zatawala mapokezi mwili wa Celina Kombani
11 years ago
GPLMWILI WA MAREHEMU AMINA NGALUMA WAWASILI DAR