Tangazo la Msiba Philadelphia na New York
![](http://3.bp.blogspot.com/-Ynq7GV_Qzss/U2Z3BzYhEJI/AAAAAAAFfWk/t0WkZq4_Y18/s72-c/unnamed+(55).jpg)
Mama Harriette Peace Kagaruki (pichani) amefariki dunia huko Philadelphia tarehe 28 Apil 2014. Marehemu alikuwa anaishi Tanzania na alikuwa amekuja Marekani kuwasalimia wanawe Erick Kagaruki (Ohio) na Mary Kagaruki (Philadelphia), na ndipo alipougua ghafla na baadae kuaga dunia.
Marehemu Mama Kagaruki hakuwa mkazi wa Marekani.
Kwa maana hiyo na kwa sababu msiba huu umetokea ghafla na kwa sababu ni Mtanzania mwenzetu tunaomba tusaidiane ili tuweze kufanikisha shughuli za msiba huu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziTaarifa ya Msiba Philadelphia na New York
Marehemu Mama Kagaruki hakuwa mkazi wa Marekani. Kwa maana hiyo na kwa sababu msiba huu umetokea ghafla na kwa sababu ni Mtanzania mwenzetu tunaomba tusaidiane ili tuweze kufanikisha shughuli za msiba huu ili aweze...
11 years ago
MichuziMaendeleo ya Msiba New York na Philadelphia
Michango kwa ajili ya kufanikisha shughuli za msiba wa Marehemu Mama Harriette Peace Kagaruki aliyefariki dunia huko Philadelphia tarehe 28 April 2014 bado inaendelea. Mpaka sasa kiasi cha dolla 8,800 zimeshapatikana. Lengo ni kuchangisha dolla 20,000 ili kufanikisha shughuli za msiba huu uliotokea tarehe 28 April 2014. Tunawaomba tuzidi kuchanga ili tuweze kufikia kiasi kinachohitajika na ili tuweze kufanikisha shughuli za kuurudisha mwili wa Marehemu Tanzania. Ukipata taarifa hizi...
11 years ago
MichuziMaendeleo ya Msiba Philadelphia na New York
Tunawaomba tuzidi kuchanga ili tuweze kufikia kiasi kinachohitajika na ili tuweze kufanikisha shughuli za kuurudisha mwili wa Marehemu Tanzania. Ukipata taarifa hizi...
9 years ago
Vijimambo08 Oct
TANGAZO LA MSIBA NEW YORK NA ZANZIBAR WA BI AISHA HEMED
Familia ya Bwana Mohammed wa Brooklyn inasikitika kutangaza Msiba wa mama Yao Bi Aisha Hemed kilichotokea Leo Zanzibar na maziko yalikuwa leo October 07,2015.Bi Aisha Hemed ni mama Mkwe wa Bwana Mohammed na Mama mzazi wa mkewe Bi Fatma Omar wa Brooklyn.Jumuiya ya Watanzania New York na vitongoji vyake inaungana na Familia katika Msiba huu mzito wa mwanajumuiya mwenzetu.Tunasisitiza Wanajumuiya kuungana Na wanafamilia katika kuwafariji wafiwa pamoja Na kumuombea dua Mama yetu mpenzi Mwenyezi...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-T2kd8Glq57s/VX2Ym1_YckI/AAAAAAADrTY/tQQhf9Kzdis/s72-c/unnamed.jpg)
MSIBA NEW YORK NA TANZANIA. MAZIKO YANATARAJIWA KUWA JUMAPILI JUNE 28,NEW JERSEY,TUTAUAGA MWILI BRONX,NEW YORK. RATIBA HII ITATEGEMEA NA UKAMILIFU WA MICHANGO YETU TAFADHALI CHANGIA ILI TUKAMILISHE JUKUMU HILI KWA PAMOJA.
![](http://1.bp.blogspot.com/-T2kd8Glq57s/VX2Ym1_YckI/AAAAAAADrTY/tQQhf9Kzdis/s320/unnamed.jpg)
Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvania inaungana na Familia ya Magege kwa masikitiko kutangaza kifo cha marehemu Mzee Alfred Magege kilichotokea jumamosi June 13,2015. Marehemu Alfred Magege alisumbuliwa na Saratani ya mifupa kwa zaidi ya miaka kumi.Marehemu ameacha Mke na watoto watatu. Kama kawaida yetu tunaombwa watanzania tujitokeze ili kuwafariji wafiwa.Ili tukamilishe Msiba huu kiasi cha $10,000 kinahitajika.Watanzania...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-vB5vx8zHAEE/U56oMw9twbI/AAAAAAAAj5Q/uUa1pjQyDYA/s72-c/unnamed.jpg)
TANGAZO LA MSIBA
![](http://3.bp.blogspot.com/-vB5vx8zHAEE/U56oMw9twbI/AAAAAAAAj5Q/uUa1pjQyDYA/s1600/unnamed.jpg)
MAZISHI YATAKUWA SIKU YA ALHAMISI YA TAREHE 18/6/2014 SAA 10 JIONI MAKABURI YA KINONDONI DAR ES SALAAM,
IBADA YA MISA ITAFANYIKA KANISA LA KATOLIKI MUHIMBILI SAA 7 MCHANA NA HESHIMA ZA MWISHO ZITATOLEWA HAPO.
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA NAMBA...
10 years ago
Michuzi14 Apr
Tangazo la Msiba Leicester, Uingereza
Annur Community Centre Leicester, UK, Inasikitikita kutangaza kifo cha Mume wa Dada Ashura Juma, Bwana Twalib Durrace kilichotokea Jumatatu 13/04/15 Peterborough City Hospital.
Mazishi yatafanya leo Jumanne 14/04/15 hapo Peterborough central Mosque saa Tisa Mchana. Kwa taarifa zaidi tafadhali wasiliana na Abdul Dau 07792104495. Innaa Lillaahi wa Innaa Ilayhi Rajioon.
Khamis Sahal, Mdhamini Jumuia ya Annoor 170a Belgrave Gate, Leicester LE1 3XL.
10 years ago
Vijimambo17 Apr
TANGAZO LA MSIBA DMV NA TANZANIA
Hapa DMV msiba upo 706 Chillum Rd, Apt 201, Hyttsville, MD 20783
Kupena pole na kufarijiana ndio malezi tuliyokulia ikiwemo upendo na ukarimu. Ukipata muda tafadhali pitia nyumbani kwa mfiwa utoe mkono wa pole au unaweza kumpigia simu 301 272 5922
Bwana ametoa, bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe.
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-s_552QVGr9s/ViT-_1dCRJI/AAAAAAAAa_k/CiOBVyMaBgc/s72-c/12079492_969885916390465_6005675068092636352_n.jpg)
TANGAZO LA MSIBA CHICAGO NA TANZANIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-s_552QVGr9s/ViT-_1dCRJI/AAAAAAAAa_k/CiOBVyMaBgc/s640/12079492_969885916390465_6005675068092636352_n.jpg)