Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RC SINGIDA AZINDUA MRADI WA LISHE IMARA UNAOTEKELEZWA NA SHIRIKA LA ACTION AGAINST HUNGER


 Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Rehema Nchimbi akihutubia wakati akizindua Mradi wa Lishe Imara mkoani hapa jana unaoendeshwa na  Shirika lisilokuwa la Kiserikali la Action Against Hunger. Kutoka kushoto ni Katibu Tawala  wa Mkoa huo Dk. Angelina Lutambi na Mganga Mkuu wa Mkoa huo, Victolina Rudovick. Katibu Tawala  wa Mkoa huo Dk. Angelina Lutambi, akizungumzia umuhimu wa lishe kwenye uzinduzi huo. Mratibu wa mradi huo, Daud Tano akizungumzia lengo la mradi huo utakaofanyika katika mikoa ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MRADI WA VIAZI LISHE KUTEKELEZWA MUFINDI

  HALMASHAURI ya Wilaya ya Mufindi  Mkoani Iringa ni mingoni mwa  Wilaya saba nchini, zilizochaguliwa na shirika la kimataifa linaloshughulikia mazao ya viazi (CIP) kutekeleza mradi  wa uzalishaji wa viazi lishe vyenye asilimia kubwa ya vitamini “A” ukilinganisha na  aina nyingine ya vyakula kama Mboga, Matunda na Mizizi.
Taarifa iliyotolewa na Afisa ya Habari na Mawasiliano wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Bw. Ndimmyake Mwakapiso, imeeleza kuwa, viazi lishe hivyo ni aina ya viazi vitamu...

 

5 years ago

Michuzi

MKUCHIKA AZINDUA BODI YA USHAURI YA WAKALA YA NDEGE ZA SERIKALI NA KUITAKA IHAKIKISHE ATCL INAKUWA IMARA KIUSHINDANI



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na Wajumbe wa Bodi ya Wakala ya Ndege za Serikali (hawapo pichani) mara baada ya kuzindua Bodi hiyo mapema leo Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.Katibu Mkuu Kiongozi, Mhe. Balozi Mhandisi John W. H. Kijazi ambaye pia ni...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mama Asha Bilal azindua “Omo Fast Action” jijini Dar leo

1

 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal akitoa hotuba yake wakati alipokuwa Mgeni Rasmi kwenye hafla ya Uzinduzi wa Sabuni ya kufulia ya OMO FastAction uliofanyika rasmi leo kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.

Kampuni ya Unilever Tanzania Limited, leo hii imezindua rasmi toleo jipya la sabuni yake ya kufulia ya Omo ambayo inaondoa madoa sugu haraka zaidi na kuacha nguo zikinukia vizuri. Sabuni hiyo mpya ya ‘Omo Fast Action’ imezinduliwa katika...

 

10 years ago

Dewji Blog

Shirika la HAPA lamtunukia tuzo mwandishi wa modewjiblog Singida

DSC04814

Mwandishi wa habari wa modewjiblog Singida, Nathaniel Limu, akiwa na tuzo aliyokabidhiwa na shirika lisilo la kiserikali la HAPA kwa mchango wake wa kushiriki utekelezaji wa mradi wa ushiriki sawa kwa wanaume katika masuala ya afya ya uzazi na ujinsia.

Na Nathaniel Limu, Singida

MENEJA wa shirika lisilo la kiserikali la Health Actions Promotion Associations (HAPA) David Mkanje, amewapongeza waandishi wa habari mkoani hapa kwa kushiriki kikamilifu utekelezaji wa mradi wa ushiriki sawa wa...

 

10 years ago

Michuzi

SHULE 30 ZAUNGANISHWA NA SHIRIKA LA KIMATAIFA LISILO LA KISERIKALI LA ACTIVISTA TANZANIA PAMOJA NA ACTION AID KUWEZA KUWAFAHAMISHA KUHUSU NGUVU YA KODI KWA VIJANA

Mgeni rasmi,Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leornad Thadeo  akifungua bonanza la NGUVU YA KODI lililofanyika katika Viwanja vya chuo cha ustawi wa jamii katika siku ya kumbukumbu ya kuadhimisha miaka kumi na tano (15) tangu hayati  baba wa taifa Mwalimu Julius K Nyerere alipofariki  Dunia  Jijini Dar es Salaam. Tamasha hilo limemkumbuka Baba wa Taifa kwa kutoa Elimu na maelezo ya kutosha juu ya Kodi na Nguvu yake katika kuchangia maendeleo ya Taifa letu na Kukuza uchumi.

 

5 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA MEDO LA MKOANI SINGIDA LATOA ELIMU YA KUJIKINGA NA CORONA


Daktari Mgonza Mgonza (kushoto) kutoka Ofisi ya Mganga Mkuu wa Wilaya ya Singida, akiwaelekeza wananchi namna sahihi ya kuvaa na kuvua barakoa katika kampeni ya utoaji elimu ya kujikinga na ugonjwa wa Corona Wilaya ya Singida.

Afisa Miradi wa Shirika la Mtinko Education Development Organization (MEDO), Hasan Rasuli akiwaelekeza wananchi jinsi ya kusafisha mikono kwa usahihi.
Mohamed Mpera kutoka Ofisi ya Mganga Mkuu wa Wilaya ya Singida, akiwaelekeza wananchi namna sahihi ya kunawa...

 

5 years ago

CCM Blog

TAMISEMI YAIJENGEA UWEZO KAMATI YA LISHE MANISPAA YA UBUNGO KWA MAFUNZO JINSI YA KUINUA KIWANGO CHA LISHE

Mafunzo hayo  yamefanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya uliopo Luguruni na kuhudhuriwa na mgeni rasmi ambaye ni Kaimu Das Wilaya ya Ubungo Diana K. Nkarage. Mkufunzi alikuwa ni  Mratibu wa  lishe kitaifa kutoka OR  TAMISEMI Ndg. Mwita Waibe akisaidiwa na Afisa Lishe wa Mkoa wa Dar es salaaam Neema Kweba, Dr.Winfrida Mayilla Senior Program Manager kutoka Shirika la GAIN na Afisa Lishe wa Wilaya ya Ubungo Beatrice Joseph pamoja na  wataalam kutoka Manispaa ya Ubungo.

Lengo la mafunzo...

 

9 years ago

Michuzi

MRATIBU WA UN NCHINI ZIARANI MKOANI SINGIDA KUKAGUA MIRADI YA SHIRIKA HILO

Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Parseko Kone alipomtembelea na kufanya mazungumzo ofisini kwake jana mjini Singida.
Na Modewjiblog team, Singida
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez amekutana na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Parseko Kone ofisini kwake kwa ajili ya kubadilishana uzoefu wa utekelezaji...

 

10 years ago

Dewji Blog

Shirika la TMEP lasaidia kupunguza mimba kwa watoto wa shule Singida

DSC04505

Afisa ufuatiliaji TMEP makao makuu jijini Dar-es-salaam, George John akizungumza kweye hafla ya kukabidhi nradi wa ushiriki sawa wa wanaume katika masuala ya afya ya uzazi na ujinsia kwa viongozi wa tarafa ya Nkonko wilaya ya Manyoni pamoja na kata zake kwa ajili ya kuuendeleza. Kwa mujibu wa George, mradi huo umesaidia kuondoa mimba mashuleni kwa kiwango kikubwa. Kulia ni afisa kutoka shirika la YMCA, Msuya na kushoto ni diwani wa kata ya Heka tarafa ya Nkonko. DSC04482 Baadhi ya waratibu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani