Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAMISEMI YAIJENGEA UWEZO KAMATI YA LISHE MANISPAA YA UBUNGO KWA MAFUNZO JINSI YA KUINUA KIWANGO CHA LISHE

Mafunzo hayo  yamefanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya uliopo Luguruni na kuhudhuriwa na mgeni rasmi ambaye ni Kaimu Das Wilaya ya Ubungo Diana K. Nkarage. Mkufunzi alikuwa ni  Mratibu wa  lishe kitaifa kutoka OR  TAMISEMI Ndg. Mwita Waibe akisaidiwa na Afisa Lishe wa Mkoa wa Dar es salaaam Neema Kweba, Dr.Winfrida Mayilla Senior Program Manager kutoka Shirika la GAIN na Afisa Lishe wa Wilaya ya Ubungo Beatrice Joseph pamoja na  wataalam kutoka Manispaa ya Ubungo.

Lengo la mafunzo...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MH. MASELE AWAJENGEA UWEZO WAKINA MAMA LISHE MKOANI SHINYANGA

 Mbunge wa Shinyanga mjini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Madini Ndugu Stephen Masele akizungumza kwenye mkutano na wakina Mama na Baba Lishe wa Shinyanga mjini ambapo aliwasaidia kufungua SACCOS na kuwaongezea mtaji wa biashara yao.  Wakina Mama Lishe ambao wengi ni Wajane na Yatima wa Shinyanga mjini wakishangilia jambo wakati wa hotuba ya Mbunge wao Ndugu Stephen Masele,kwenye ukumbi wa NSSF CCM mkoa wa Shinyanga uliofanyika jana tarehe 26 Februari 2014.  Wakina Mama Lishe ambao wengi...

 

10 years ago

Michuzi

JINSI YA KUANDAA NA KUTAYARISHA DAWA-LISHE NA KUNENEPESHA, KURUTUBISHA NA KUONGEZA MWILI.

Dawa-lishe  ya  kuongeza, kurutubisha  na  kunenepesha  mwili, ni  dawa  maalumu  kwa  watu  wenye  uzito  wa  chini  (  Under weight ) ambao  wanataka  kuongeza  mwili  na  uzito.Dawa  hii  huwasaidia  watu  ambao  miili  yao  imedhoofu  kutokana  na  sababu  mbalimbali  kama  vile  kuugua  magonjwa  na  maradhi  mbalimbali.Na  kwa  wale  watu  wembamba  ambao  wanataka  kuongeza  miili  yao, dawa  hii  huwasaidia  vizuri  sana. 
Kusoma zaidi makala hii BOFYA...

 

10 years ago

Habarileo

Kitabu cha Lishe chazinduliwa

Naibu Waziri wa Jamii, Jinsia na Watoto, Dk Pindi ChanaTAASISI ya Bunge ya kushughulika na Usalama wa Chakula, Lishe na Haki za Watoto (PGNFSCR), wamezindua kitabu kinachosisitiza umuhimu wa Ilani za vyama vya siasa nchini, zitakazotumika kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu, kuwa na vipengele vinavyozungumzia masuala ya chakula na lishe.

 

11 years ago

Habarileo

Miundombinu, ubunifu kuinua kiwango cha ufaulu

SERIKALI imeshauriwa kuboresha na kuimarisha miundombinu yakiwemo majengo kwenye vyuo vya ualimu nchini, na kusaidia uwapo wa ubunifu ili kuinua ufaulu wa wanafunzi.

 

10 years ago

Michuzi

TAMISEMI YATAKA KUONGEZA ZAIDI KIWANGO CHA TAHADHARI YA UGONJWA WA EBOLA.

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI),Hawa Ghasia, amewaagiza  Waganga Wakuu wa Mikoa , na Halmashauri za wilaya nchini kuongeza zaidi kiwango cha kuchukua tahadhari katika kukabiliana na magonjwa ya mlipuko ukiwemo wa Ebola.Waziri Ghasia alitoa agizo hilo jana mjini hapa wakati wa  hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano wa mwaka wa Waganga wakuu wa mikoa, Halmashauri za wilaya na wakurugenzi wa Hospitali za rufaa kutoka mikoa yote ya Tanzania...

 

11 years ago

Habarileo

Unga wa lishe hatari kwa watoto

MCHANGANYIKO usiozingatia makundi matano ya vyakula, unaotengenezwa na wajasiriamali au nyumbani kwa ajili ya unga wa watoto maarufu ‘Lishe’, una athari za kiafya kwa watoto wachanga na walio chini ya miaka mitano.

 

11 years ago

Michuzi

WAZAZI WANAYO NAFASI KUBWA KUINUA KIWANGO CHA ELIMU - MKUU WA WILAYA YA CHATO

 Mkuu wa Wilaya ya Chato Mhe. Rodrick Mpogolo amesema wazazi kwa kushirikiana na walimu wanayo nafasi kubwa katika kuhakikisha elimu Wilayani Chato inaboreka. Ameyasema hayo  wakati akifungua kikao cha wadau wa elimu Wilayani Chato kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Halamshauri hiyo.  Mhe. Mpogolo amesema si muda muafaka sasa wa kumwachia mwalimu kuhusu masuala yote ya elimu bali kila mtu hasa mzazi anayo nafasi kubwa ya kuhakikisha mtoto anapata mahitaji yote ya kielimu.  “Maadili...

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA ASAS YATOA MSAADA KWA MAMA LISHE


NA DENIS MLOWE-IRINGA
Katika kuendelea na mapambano dhidi ya kuenea kwa virusi vya corona nchini kampuni Asas yenye makao makuu mkoani Iringa imegawa msaada wa barakoa 500 kwa mama lishe wanaofanya biashara zao katika masoko matano yaliyoko manispaa ya Iringa kwa ajili ya kujinga na Virusi Vya Corona.
Msaada huo umetolewa kwa mama lishe hao ikiwa ni juhudi za kampuni hiyo kuungana na serikali katika kutokomeza kuenea kwa virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid 19 ambao umekuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani