Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAMISEMI YATAKA KUONGEZA ZAIDI KIWANGO CHA TAHADHARI YA UGONJWA WA EBOLA.

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI),Hawa Ghasia, amewaagiza  Waganga Wakuu wa Mikoa , na Halmashauri za wilaya nchini kuongeza zaidi kiwango cha kuchukua tahadhari katika kukabiliana na magonjwa ya mlipuko ukiwemo wa Ebola.Waziri Ghasia alitoa agizo hilo jana mjini hapa wakati wa  hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano wa mwaka wa Waganga wakuu wa mikoa, Halmashauri za wilaya na wakurugenzi wa Hospitali za rufaa kutoka mikoa yote ya Tanzania...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAANDISHI WA HABARI ARUSHA WAASWA KUONGEZA TAHADHARI YA UGONJWA WA CORONA (COVID-19).


Mratibu wa mtandao Habari za jamii za pembezoni(MAIPAC) Mussa Juma akiwa na Mkurugenzi wa taasisi ya CILAO, Odero Charles wakimkabidhi mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoa Arusha,Claude Gwandu vifaa kinga dhidi ya Corona kwa waandishi wa habari lakini pia muongozo wa kufanyakazi kwa tahadhari kwa vyombo vya habari.

Na Vero Ignatus Arusha.

Waandishi wa habari mkoa wa Arusha, wametakiwa kuongeza tahadhari za kiafya katika kujikinga na maambukizi ya Covid -19 kwa kufuata maelekezo...

 

11 years ago

Michuzi

5 years ago

CCM Blog

TAMISEMI YAIJENGEA UWEZO KAMATI YA LISHE MANISPAA YA UBUNGO KWA MAFUNZO JINSI YA KUINUA KIWANGO CHA LISHE

Mafunzo hayo  yamefanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya uliopo Luguruni na kuhudhuriwa na mgeni rasmi ambaye ni Kaimu Das Wilaya ya Ubungo Diana K. Nkarage. Mkufunzi alikuwa ni  Mratibu wa  lishe kitaifa kutoka OR  TAMISEMI Ndg. Mwita Waibe akisaidiwa na Afisa Lishe wa Mkoa wa Dar es salaaam Neema Kweba, Dr.Winfrida Mayilla Senior Program Manager kutoka Shirika la GAIN na Afisa Lishe wa Wilaya ya Ubungo Beatrice Joseph pamoja na  wataalam kutoka Manispaa ya Ubungo.

Lengo la mafunzo...

 

10 years ago

Vijimambo

KIWANGO CHA NGASSA KIMESHUKA, LAKINI NI MCHEZAJI MWENYE AKILI, LAZIMA ATARUDI KATIKA KIWANGO CHAKE-PLUIJM

KOCHA mkuu wa Yanga SC, Mholanzi, Johannes Hans van der Pluijm anaamini Mrisho Ngassa atarudi katika kiwango chake cha zamani.
Pluijm alikiri wazi kuwa nyota huyo ameshuka kiwango kwa sasa na ndio maana anaanzia benchi katika mechi mbalimbali, lakini anaonesha juhudi kubwa mazoezini kitendo kinachoonesha wazi ametambua alipo sasa.
“Kiwango cha Ngassa kimeshuka, lakini ni mchezaji mwenye akili, lazima atarudi katika kiwango chake”. Alisema Pluijm.Kocha huyo anayependa soka la kushambulia...

 

10 years ago

GPL

CUF YATAKA WAZIRI TAMISEMI, MKURUGENZI KINONDONI WAJIUZULU

Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Tanzania Bara, Magdalena Sakaya, akizungumza na wanahabari(hawapo pichani).…

 

11 years ago

BBCSwahili

Ebola ni kiini cha ugonjwa hatari Guinea

Wanasayansi nchini Ufaransa wasema virusi vya Ugonjwa wa Ebola ndio chanzo cha ugonjwa wa homa ya Haemorajic nchini Guinea

 

10 years ago

Michuzi

KIFAA CHA KUCHUNGUZIA UGONJWA WA EBOLA CHAWEKWA AIR PORT ZANZIBAR

Na Faki Mjaka Maelezo Zanzibar
Wizara ya Afya Zanzibar imekabidhi kifaa cha THERMAL SCANNER kwa ajili ya kuchunguza Wagonjwa wa EBOLA watakao ingia nchini kutoka mataifa mengine.
Kifaa hicho kilichowekwa katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume kitatumika kwa ajili ya kuwachunguza zaidi Wageni ambao watatoka katika nchi zilizoathiriwa na Ugonjwa wa Ebola.
Akikabidhi kifaa hicho Mkuu wa kitengo cha kufuatilia mwenendo wa Maradhi Zanzibar Dkt Salma Masauni amesema THEMO SKAN...

 

10 years ago

Dewji Blog

Jitihada elekezi siri ya ushindi wa vita dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi katika kipindi cha mlipuko wa ebola

apollo-hospitals

Tarehe 1 Desemba kila mwaka watu wote duniani huazimisha Siku ya Ukimwi Duniani, siku ambayo ilianzishwa mnamo mwaka 1987 na ambayo hubeba maudhui mbali mbali ikiwa kwa mwaka huu ikibeba maudhui ya  Focus, Partner, Achieve: An AIDS-free Generation yaani Elekeza, Jiunge na Pata: Kizazi kisicho na Ukimwi. Ujumbe unaokumbusha jamii kuwa ugonjwa wa Ukimwi kuwa bado ni tatizo linalohitaji jitihada endelevu na elekezi hata katika wakati wa milipuko ya magonjwa mengine katika jamii. Siku ambayo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani