Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CUF YATAKA WAZIRI TAMISEMI, MKURUGENZI KINONDONI WAJIUZULU

Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Tanzania Bara, Magdalena Sakaya, akizungumza na wanahabari(hawapo pichani).…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAMISEMI YATAKA KUONGEZA ZAIDI KIWANGO CHA TAHADHARI YA UGONJWA WA EBOLA.

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI),Hawa Ghasia, amewaagiza  Waganga Wakuu wa Mikoa , na Halmashauri za wilaya nchini kuongeza zaidi kiwango cha kuchukua tahadhari katika kukabiliana na magonjwa ya mlipuko ukiwemo wa Ebola.Waziri Ghasia alitoa agizo hilo jana mjini hapa wakati wa  hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano wa mwaka wa Waganga wakuu wa mikoa, Halmashauri za wilaya na wakurugenzi wa Hospitali za rufaa kutoka mikoa yote ya Tanzania...

 

5 years ago

Michuzi

TAMISEMI YARIDHISHWA NA MATUMIZI MAZURI YA FEDHA ZA MAPATO YA NDANI KATIKA MIRADI YA MAENDELEO MANISPAA YA KINONDONI

Muonekano wa ujenzi wa mfereji wa kupitisha maji.

Meneja wa TATURA Leopord Runji akimuonesha Naibu Waziri wa Tamisemi Mhe. Josephat Kandege hatua inayoendelea katika ujenzi wa mfereji wa kupitisha maji.
Naibu Waziri wa Tamisemi Mhe. Josephat Kandege pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe.Daniel Chongolo wakiangalia karavati za kuweka kwenye mifereji ya kupitisha maji.

…………………………………………………………..

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe....

 

10 years ago

GPL

NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA(TAMISEMI)MH.KASSIM MAJALIWA AZINDUA RASMI KAMPENI YA FISTULA MWISHONI MWA WIKI‏

Naibu waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)Mh. Kassim Majaliwa (Kulia)akikabidhiwa hundi yanye thamani ya shilingi milioni 100/- na Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Grace Lyon, kwa niaba ya hospitali ya CCBRT kwa ajili ya kampeni ya kutokomeza Fistula nchini  wakati wa Maadhimisho ya Kimataifa ya Fistula yaliyofanyika  kitaifa  katika Wilaya ya Mbogwe  mkoani...

 

9 years ago

Habarileo

Mkurugenzi Kinondoni asimamishwa

KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Jumanne Sagini amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati mkoani Manyara, Mussa Natty.

 

9 years ago

Mwananchi

Idd Azzan aanguka Kinondoni, Cuf yachukua

Wimbi la vyama vya upinzani kushinda ubunge jijini Dar es Salaam limeendea usiku huu baada ya mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maulid Mtulia kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo katika jimbo la Kinondoni, akimshinda mgombea wa CCM, Idd Azzan.

 

9 years ago

Mwananchi

Mtulia wa CUF awaomba radhi wana kinondoni

Mgombea ubunge wa Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF) Mtulia Said ameomba radhi kwa wananchi wa jimbo hilo baada ya kuchelewa kuanza kampeni akidai kwamba ni kutokana na pingamizi.

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA TAMISEMI DAR

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akisalimiana na katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa  (TAMISEMI) , Jumanne Sajini baada ya kuwasili kwenye Ofisi ndogo ya TAMISEMI jijini Dar es salaam kuzungumza na watumishi Novemba 24, 2015. Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa  akizungumza na baadhi ya watumishi wa Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) jijini Dar es salaam Novemba 24, 2015.  Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim...

 

9 years ago

Vijimambo

IDD AZZAN APIGWA CHINI KINONDONI, CUF YACHUKUA



Wimbi la vyama vya upinzani kushinda ubunge jijini Dar es Salaam limeendelea baada ya mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maulid Mtulia kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo katika jimbo la Kinondoni, akimshinda mgombea wa CCM, Idd Azzan.
Akitangaza matokeo hayo usiku wa kuamkia leo, msimamizi wa uchaguzi katika jimbo hilo ambaye pia ni mkurugenzi wa manispaa ya Kinondoni, Mussa Natty amesema, Mtulia amepata kura 70, 337 huku Azzan aliyekuwa anatetea kiti chake akipata...

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News!! Waziri Mkuu mteule ni Kassim Majaliwa aliyekuwa TAMISEMI!

BRAEKI

Kitendawili cha nani kuwa Waziri Mkuu tayari jibu limepatikana na sasa ni  Kissim Majaliwa  ambaye alikuwa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali ya Mitaa (TAMISEMI) Aliyekuwa akishughulikia Elimu.

Jina hilo la Waziri Mkuu liliweza kupelekwa Bungeni kwa mbwembwe na baadae kusomwa. na kutajwa jina hilo ambalo wengi wa hawakulitegemea.

Bunge lililipuka kwa shangwe kwani ilikuwa ni ‘Surprise’ kwa jina hilo kutajwa Bungeni, kushika nafasi kubwa katika nchi.

kasim

Kassim...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani