Unga wa lishe hatari kwa watoto
MCHANGANYIKO usiozingatia makundi matano ya vyakula, unaotengenezwa na wajasiriamali au nyumbani kwa ajili ya unga wa watoto maarufu ‘Lishe’, una athari za kiafya kwa watoto wachanga na walio chini ya miaka mitano.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi28 Jun
Dar hatarini kwa unga wa lishe, visima vya maji
>Visima vingi vya maji vilivyochimbwa jijini Dar es Salaam na unga wa lishe kwa watoto umeelezwa kutokuwa salama kwa afya za watumiaji, kulingana na utafiti uliofanywa hivi karibuni na Ofisi ya Wakala wa Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA).
10 years ago
Habarileo17 Oct
'Watoto 130 hufa kila siku kwa lishe duni'
WAKATI Tanzania ikisherehekea Siku ya Chakula Duniani, imeelezwa kuwa watoto 130 hufa kila siku nchini kutokana na kukosa lishe bora na matunzo sahihi.
11 years ago
Mwananchi19 Feb
Kutojali lishe kwaua watoto 179,000 kwa mwaka nchini
>Licha ya Serikali kutangaza mara kadhaa kuwa inataka hadi kufikia mwaka 2015 iwe imepunguza tatizo la utapiamlo kutoka asilimia 15 ilivyo mpaka asilimia 5, hali ya tatizo hilo bado inaonekana ni mbaya.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-K5hlixdXyP4/Xl9ZhI7XN4I/AAAAAAACIHA/r8we4kXCMuEENhgAYZf7clcKHEYqq8KjACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200304-WA0009.jpg)
TAMISEMI YAIJENGEA UWEZO KAMATI YA LISHE MANISPAA YA UBUNGO KWA MAFUNZO JINSI YA KUINUA KIWANGO CHA LISHE
![](https://1.bp.blogspot.com/-K5hlixdXyP4/Xl9ZhI7XN4I/AAAAAAACIHA/r8we4kXCMuEENhgAYZf7clcKHEYqq8KjACLcBGAsYHQ/s400/IMG-20200304-WA0009.jpg)
Lengo la mafunzo...
10 years ago
Mwananchi05 Jun
Hatari ya nyongea na kwashakoo kwa watoto
Watoto wanaopata lishe duni wanaweza kupata ugonjwa wa nyongea au kama wengi wanavyofahamu maradhi haya kama marasmus au kwashakoo.
10 years ago
GPLHII NI HATARI KWA WATOTO HAWA
Watoto hao wakicheza kwenye mvua. KAMERA ya GPL leo imewanasa watoto walio mazingira magumu, wakiwa wanacheza barabarani huku mvua kubwa ikiwanyeshea maeneo ya Morocco, jijini Dar es Salaam, hali ambayo ni hatari kwa afya na maisha yao. (Picha/Stori na Gabriel…
10 years ago
BBCSwahili26 Sep
Picha zisofaa hatari kwa watoto-Cameroon
Nchini Uingereza vifaa vyote vyenye uwezo wa kuunganishwa kwenye mtandao wa internet vitawekewa vizuizi vya picha za ngono.
10 years ago
Mwananchi16 Jan
Hatari Kwa Watoto Wenye unene kupita kiasi
Kutokana na hali ya maisha kubadilika na watu kubadili mienendo ya maisha kwa kula vyakula vya kisasa vingi vikiwa ni vile vinavyozalishwa viwandani, magonjwa yasiyo ya kuambukiza yameanza kubisha hodi hata kwa watoto na vijana.
10 years ago
Mwananchi28 Nov
Utafiti: Mtindi kinga dhidi ya kemikali hatari kwa wajawazito na watoto
Unaposikia au kuona maziwa ya mtindi, hisia zinazokufikia haraka ni zile za uchachu na ladha nzuri ya kinywaji hicho.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania