HII NI HATARI KWA WATOTO HAWA
Watoto hao wakicheza kwenye mvua. KAMERA ya GPL leo imewanasa watoto walio mazingira magumu, wakiwa wanacheza barabarani huku mvua kubwa ikiwanyeshea maeneo ya Morocco, jijini Dar es Salaam, hali ambayo ni hatari kwa afya na maisha yao. (Picha/Stori na Gabriel…
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili08 Jun
Taitizo la Android: Kwa nini picha hii ni hatari kwa simu yako?
10 years ago
Mwananchi05 Jun
Hatari ya nyongea na kwashakoo kwa watoto
11 years ago
Habarileo11 Aug
Unga wa lishe hatari kwa watoto
MCHANGANYIKO usiozingatia makundi matano ya vyakula, unaotengenezwa na wajasiriamali au nyumbani kwa ajili ya unga wa watoto maarufu ‘Lishe’, una athari za kiafya kwa watoto wachanga na walio chini ya miaka mitano.
10 years ago
Mwananchi31 Mar
‘Hii ndiyo mitandao hatari kwa ‘madenti’
10 years ago
BBCSwahili26 Sep
Picha zisofaa hatari kwa watoto-Cameroon
10 years ago
Mwananchi16 Jan
Hatari Kwa Watoto Wenye unene kupita kiasi
10 years ago
Bongo Movies28 Apr
Natasha Atoa Wito Kwa Makampuni ya Filamu Kufanya Kazi na Watoto Hawa
Staa wa Bongo Movies, Susan Humba ‘Natasha’ amewataka wenye makampuni ya uandaaji wa filamu za bongo kuwatumia watoto wenye vipaji ambao wana ulemavu wa viungo.
Natasha alitoa kauli hiyo kwa watoto hao wenye ulemavu wa viungo wanaosoma Shule ya Sekondari Jangwani, jijini Dar es Salaam, baada ya kuonyesha uwezo wao wa kuigiza mbele yake.
Wanafunzi hao walionesha vipaji vyao mwishoni mwa wiki iliyopita, wakati wa uzinduzi wa shirika lisilo la kiserikali la Save Vulnerable Foundation (SVF),...
10 years ago
Mwananchi28 Nov
Utafiti: Mtindi kinga dhidi ya kemikali hatari kwa wajawazito na watoto
11 years ago
Tanzania Daima04 Mar
Nini mustakabali wa watoto hawa?
AJIRA kwa watoto limekuwa tatizo kubwa duniani hasa barani Afrika. Umoja wa Mataifa (UN) ulipitisha mkataba wa haki za watoto uliokuwa na haki zaidi ya ishirini ili kumlinda mtoto asinyanyaswe...