Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


REDD’S miss tanzania-the show goes on

>The Redd’s Miss Tanzania 2014 final show will go on as scheduled, this was after an earlier court injunction was quashed on Tuesday afternoon.

TheCitizen

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MSHINDI WA MISS TANZANIA BEAUTY CONTEST USA 2014 KUSHIRIKI REDD'S MISS TANZANIA

KWA MARA YA KWANZA MSHINDI  KWENDA KUIWAKILISHA USA KWENYE MASHINDANO YA REDD'S MISS TANZANIA  2014 - JIJINI DAR-ES-SALAAM MSHINDI WA 1,2,3 KILA KANDA KUJA DC KWENYE FINALS AMBAPO  MKURUGENZI NA MWAKILISHI WA MISS TANZANIA KUTOKA TANZANIA WATAKUWEPO KUTOA TAJI HILO.
MSHIRIKI LAZIMA AWE NA MAKARATASI YA KUSAFIRIA  VENUES & REGISTRATION -DROPPING NEXT   MAELEZO-TUANDIKIE ## MISSTANZANIA2014@GMAIL.COM

 

11 years ago

GPL

KWA MARA YA KWANZA MSHINDI WA MISS TANZANIA BEAUTY CONTEST USA KWENDA BONGO KUSHIRIKI REDD'S MISS TANZANIA 2014!‏

KWA MARA YA KWANZA MSHINDI  KWENDA KUIWAKILISHA USA KWENYE MASHINDANO YA REDD'S MISS TANZANIA  2014 - JIJINI DAR-ES-SALAAM MSHINDI WA 1,2,3 KILA KANDA KUJA DC KWENYE FINALS AMBAPO MKURUGENZI NA MWAKILISHI WA MISS TANZANIA KUTOKA TANZANIA WATAKUWEPO KUTOA TAJI HILO. MSHIRIKI LAZIMA AWE NA MAKARATASI YA KUSAFIRIA VENUES & REGISTRATION -DROPPING NEXT  MAELEZO-TUANDIKIE ## MISSTANZANIA2014@GMAIL.COM ...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Redd’s Miss Tanzania 2014 kupatikana leo Dar

WASICHANA 30 wanaowania taji la Redd’s Miss Tanzania 2014, jioni ya leo watapanda jukwaani kujaribu bahati katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam. Warembo hao waliopo kambini kwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sitti Mtemvu avua taji Redd’s Miss Tanzania

REDD’S Miss Tanzania Sitti Abbas Mtemvu ameamua kuvua taji la Redds Miss Tanzania alilovikwa usiku wa Oktoba 11 mwaka huu katika Ukumbi wa Mliamani City, jijini Dar es Salaam. Katika...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Red Carpet — Redd’s Miss Tanzania 2014

Kabla ya kupatikana mshindi wa Redd’s Miss Tanzania 2014,Sitti Mtemvu wadau mbalimbali waliohudhuria tukio hilo lilikofanyika katika ukumbi wa Mlimani City walitapa nafasi ya kupiga picha katika zuria jekundu. Katika show hiyo ambayo kila mdau aliyepata nafafi ya kuhudhuria alionyesha uwezo wake katika mavazi hali iliyoifanya sherere hiyo kufana kutokana na ushondani wa kuvaa. Tazama […]

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sitti Mtemvu atwaa taji la Redd’s Miss Tanzania 2014

MREMBO Sitti Abbas Mtemvu kutoka Temeke, juzi usiku alitwaa taji la Redd’s Miss Tanzania 2014, baada ya kuibuka kidedea katika fainali za shindano hilo lililofanyika ukumbi wa Mlimani City, jijini...

 

10 years ago

Vijimambo

EVELYN BAASA NDIYE REDD'S MISS TANZANIA PHOTOGENIC 2014

 Miss Tanzania Photogenic 2014, Evelyn Baasa.
 Warembo waliofanikiwa kuingia hatua ya tano bora ya Redd’s Miss Tanzania Photogenic 2014, wakiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa taji hilo, Evelyn Baasa (katiakti) jana. Wengine kutoka kushoto ni Nicole Sarakikya, Lilian Kamazima, Lilian Timothy na Dorice Mollel.  Warembo wakilisakata rumba kabla ya kuatangzwa kwa matokeo hayo. Baadhi ya warembo wakipiga picha ya pamoja na mshindi huyo wa Taji la Miss Tanzania Photogenic 2014
Father Kidevu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani