Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ridhiwani Kikwete aanza kupiga hesabu za bungeni

 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Kikwete ameanza kujinadi akisema endapo ataingia bungeni, atawaelimisha wabunge juu ya kuweka mbele maslahi ya Watanzania badala ya kulalamikia posho.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Ridhiwani Kikwete aanza kampeni kuwania Chalinze

Ridhiwani KikweteWAKATI leo ni siku ya uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo la Kalenga mkoani Iringa, mgombea wa ubunge katika uchaguzi mwingine mdogo jimboni Chalinze, Pwani kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Kikwete jana alianza kwa kishindo kampeni zake.

 

11 years ago

Michuzi

RIDHIWANI KIKWETE AANZA KAMPENI KWA KISHINDO JIMBO LA CHALINZE

Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubi wananchi wa Kijiji cha Saadani,Wilayani Bagamoyo.wakati wa kampeni zake zilizoanza rasmi jana Machi 14,2014.
Meneja wa Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),Ndg. Steven Kazidi (kushoto) akimuinua mkono juu kwa ishara ya kumnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo (CCM),Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati wa mkutano wa kwanza wa kampeni uliofanyika katika...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ridhiwani Kikwete aanza ziara ya kikazi katika vijiji 40 Chalinze

IMG_5660

Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akikagua vyumba vya madarasa vya Shule ya Msingi Kibindu, wilayani Bagamoyo, Pwani vilivyobmoka na kuezuliwa paa kutokana na mvua kubwa iliyonyesha hivi karibuni. Ridhiwani yupo katika ziara ya kikazi ya kutembelea vijiji 40 jimboni humo.Pia Ridhiwani alishauri shule hiyo yenye majengo yaliyojengwa tangu 1952 ifungwe ili kuepusha maafa zaidi hadi itakapojengwa upya. (PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).

IMG_5700

Mbunge wa...

 

10 years ago

Michuzi

MH. RIDHIWANI KIKWETE AANZA ZIARA YA KIKAZI KATIKA VIJIJI 40 CHALINZE

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akikagua vyumba vya madarasa vya Shule ya Msingi Kibindu, wilayani Bagamoyo, Pwani vilivyobmoka na kuezuliwa paa kutokana na mvua kubwa iliyonyesha hivi karibuni. Ridhiwani yupo katika ziara ya kikazi ya kutembelea vijiji 40 jimboni humo.Pia Ridhiwani alishauri shule hiyo yenye majengo yaliyojengwa tangu 1952 ifungwe ili kuepusha maafa zaidi hadi itakapojengwa upya.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Michuzi

MH. RIDHIWANI KIKWETE AANZA KUTEKELEZA ILANI YA CHAMA KWENYE JIMBO LAKE LA CHALINZE

1Mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete na Diwania wa Kata ya Bwilingu Bw. Ahmed Nasser wakiwa wamelala kwenye moja ya vitanda Vitanda 267 vilivyotolewa na mbunge huyo katika shule mbalimbali za sekondari kwa jimbo zima la Chalinze wakati wa makabidhiano yaliyofanyika kwenye shule ya sekondari ya Lugoba jana, Shule ambazo zimepewa vitanda hivyo ni shule ya sekondari Chalinze 50, Moleto Lugoba 50, Mandera 25, Talawanda 24, Kiwangwa 50, Lugoba 38 na Kikaro 30.katika hatua hiyo Mh. Ridhiwania...

 

11 years ago

Dewji Blog

Ridhiwani Kikwete na Godfrey Mgimwa waapishwa rasmi Bungeni mjini Dodoma leo

PG4A8145

Mbunge wa Kalenga, Godfrey mgimwa akisindikizwa na wabunge wa CCM kuingia Bungeni mjini Dodoma Mei 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A8185

Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete akisindikizwa na wabunge wa CCM kuingia Bungeni Mjini Dodoma.

PG4A8195

PG4A8131

 Spika wa Bunge,Anne Makinda na watendaji wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wakiimba wimbo waTaifa kabla ya shughuli za Bunge kuanza.

PG4A8129

Mke   Rais,Mama Salma Kikwete akiwa Bungeni Mjini Dodoma May 6,2014 wakati mwanae,Ridhiwani Kikwete...

 

11 years ago

GPL

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO, RIDHIWANI KIKWETE NA GODFREY MGIMWA WAAPISHWA

Spika wa Bunge,Mh. Anne Makinda na watendaji wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya shughuli za Bunge kuanza leo mei 6, 2014.
Mbunge Mpya wa Jimbo la Kalenga,Mh. Godfrey Mgimwa akisindikizwa na wabunge wa CCM kuingia Bungeni mjini Dodoma leo Mei 2014.…

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO,RIDHIWANI KIKWETE NA GODFREY MGIMWA WAAPISHWA

Spika wa Bunge,Mh. Anne Makinda na watendaji wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya shughuli za Bunge kuanza leo mei 6, 2014. Mbunge Mpya wa Jimbo la Kalenga,Mh. Godfrey Mgimwa akisindikizwa na wabunge wa CCM kuingia Bungeni mjini Dodoma leo Mei 2014. Mbunge Mpya wa Jimbo la Kalenga,Mh. Godfrey Mgimwa akila kiapo Bungeni mjini Dodoma leo Mei 6, 2014. Mbunge Mpya wa Jimbo la Chalinze,Mh. Ridhiwani Kikwete akisindikizwa na wabunge wa CCM kuingia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani