RIDHIWANI KIKWETE AENDELEA NA KAMPENI KATIKA KATA YA BWILINGU LEO

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akilakiwa na Wananchi wakazi wa Kijiji cha Chahua,Kata ya Bwilingu leo Machi 27, 2014 wakati wa Muendelezo wa Kampeni zake za kuomba ridhaa kwa Wananchi hao ya kuwa kiongozi wao kwa Maendeleo ya Jimbo la Chalinze.
Meneja wa Kampeni za CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Steven Kazidi akiwasisitiza Wananchi wa Kijiji cha Chahua kuzitunza vyema Shahada zao za kupigia kura,ili siku ikifika ya kupiga...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
RIDHIWANI KIKWETE AUNGURUMA KATA YA BWILINGU NDANI YA JIMBO LA CHALINZE LEO



11 years ago
GPL
RIDHIWANI KIKWETE AUNGURUMA KATA YA BWILINGU NDANI YA JIMBO LA CHALINZE
11 years ago
GPL
RIDHIWANI KIKWETE APIGA KAMPENI KATIKA KATA YA FUKAYOSE JIMBONI CHALINZE
11 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU WA CCM AMNADI RIDHIWANI KIKWETE KATIKA KATA ZA UBENA ZOMOZI LEO


Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Ndg. Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi na wanaCCM wa Kata ya Ubena...
11 years ago
GPL
RIDHIWANI KIKWETE AENDELEA NA KAMPENI CHALINZE