RIPOTI KAMILI
![](http://api.ning.com:80/files/8l--NuzR*jEq4xt6MSwEfCBbUZLN*ydKmrvvnRdR8blSHjYwZ1Da6HJLKERPKzZ0TZ*jy39OWhEE84uUbft-ucJni576Lrg5/ripoti.jpg?width=650)
Stori: Joseph Shaluwa na Erick Evarist MASKINI! Stori zilizozagaa mitaani kuhusu mali za aliyekuwa mkali wa sinema za Kibongo, marehemu Steven Kanumba zinasema kuwa, zimeuzwa na kampuni aliyoiacha, Kanumba The Great Film imefilisika, Ijumaa Wikienda linakupa ripoti iliyoshiba. Marehemu Steven Kanumba. Habari zinadai kuwa baada ya kifo cha Kanumba Aprili 7, 2012, mali alizoziacha zinafujwa, hakuna utaratibu mzuri wa kusimamia...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/F6kBJElJzOa4fqYfiLfjTxNUUmF71mr3x-J9j7xUXBq1qc4kWBzdt0MgTpJttNnXdkSSjvCoRxFEcUM8KlVUS7gsTQMGsddK/diamondd.jpg?width=650)
TUZO ZA KILI 2013/14: RIPOTI KAMILI
10 years ago
CloudsFM14 Jan
RIPOTI KAMILI YA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM KUJULIKANA LEO
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akizungumza jambo na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,Ndugu Adam Kimbisa,wakati akitoka nje mara baada ya kumaliza kikao cha kawaida cha Kamati Kuu ya CCM Taifa usiku huu,kilichofanyika jana katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja,Zanzibar,kikao hicho kilianza mnamo majira ya saa sita mchana na kumalizika usiku mnamo saa mbili na ushehe hivi huku mambo mbalimbali yakiwa yamejadiliwa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-nRccbB3jmt8/VLVcObqlX7I/AAAAAAACxa4/_Axy2lgtlmY/s72-c/_MG_8938.jpg)
RIPOTI KAMILI YA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM KUJULIKANA KESHO.
![](http://2.bp.blogspot.com/-nRccbB3jmt8/VLVcObqlX7I/AAAAAAACxa4/_Axy2lgtlmY/s1600/_MG_8938.jpg)
9 years ago
Raia Tanzania07 Sep
Kwa nini Rose Kamili si kamili
MALUMBANO ya kisiasa nchini yanazidi kupamba moto baada ya mke wake wa zamani wa Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema Dk Willibrod Slaa, Rose Kamili kuibuka na kusema amesikitishwa na kauli alizozitoa mume wake huyo alipozungumza na waandishi wa habari Septemba Mosi.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Kamili alisema wakati Dk. Slaa anatangaza kung’atuka kwenye siasa alisema amekuwa akila mihogo na familia yake, jambo ambalo si la kweli.
Alisisitiza kuwa japokuwa mihogo siyo chakula...