Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kwa nini Rose Kamili si kamili

MALUMBANO ya kisiasa nchini yanazidi kupamba moto baada ya mke wake wa zamani wa Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema Dk Willibrod Slaa, Rose Kamili kuibuka na kusema amesikitishwa na kauli alizozitoa mume wake huyo alipozungumza na waandishi wa habari Septemba Mosi.

Akizungumza jijini Dar es Salaam, Kamili alisema wakati Dk. Slaa anatangaza kung’atuka kwenye siasa alisema amekuwa akila mihogo na familia yake, jambo ambalo si la kweli.

Alisisitiza kuwa japokuwa mihogo siyo chakula...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Lecture of Mohamed Said juu ya kwa nini Wzanzibar wanataka mamlaka kamili?

Mohamed Said Bonyeza Audio

The post Lecture of Mohamed Said juu ya kwa nini Wzanzibar wanataka mamlaka kamili? appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Mwananchi

Majalada kesi ya Rose Kamili

 Majalada mawili yaliyofunguliwa na polisi katika sakata la kutekwa kwa Mbunge wa Viti Maalum (Chadema), Rose Kamili yamefikishwa kwa Mwanasheria wa Serikali kwa ajili ya hatua zaidi.

 

11 years ago

GPL

MBOWE AMJULIA HALI MBUNGE ROSE KAMILI

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe akimjulia hali Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa Manyara kupitia chama hicho, Mhe. Rose Kamili, alipomtembelea hospitalini. Mbunge huyo anadaiwa kujeruhiwa baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kukutwa akigawa fedha kwa wanakijiji wa Kitayawa kata ya Luhota, Iringa Vijijini jana.

 

9 years ago

Mwananchi

Rose Kamili, Askofu Kilaini wamshukia Dk Slaa

Kauli ya Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema Dk Willibrod Slaa kuhusu hatma yake kisiasa imeendelea kutikisa baada ya mke wake wa zamani, Rose Kamili kuibuka na kusema amesikitishwa na kauli alizozitoa mume wake huyo alipozungumza na waandishi wa habari Septemba Mosi.

 

9 years ago

Vijimambo

MKE HALALI WA NDOA WA DK.WILBROD SLAA, MBUNGE ROSE KAMILI AMLIPUA DR SLAA


Mbunge wa Viti Maalumu kupitia chadema,Rose Kamili,akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo jioni kuhusiana na tuhuma alizozitoa mume wake kwamba waliishi kwa maisha ya kula mihogo na familia yake ili kuhakikisha chadema inastawi na kuimarika jambo ambalo si la kweli walikuwa na maisha mazuri ya kawaida tu na kusema kuwa Dk.Slaa anapaswa awaombe radhi wataznzania kwa kufafanisha kula mihogo kuwa ni umaskini na kuongeza kwa kusema mbona ukienda katika mahoteli makubwa...

 

9 years ago

Habarileo

Yanga, Azam kamili kwa Mapinduzi

YANGA na Azam FC zinatarajia kuondoka leo kwenda Zanzibar kwa ajili ya kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuanza keshokutwa mpaka Januari 13 kwenye uwanja wa Amani mjini Zanzibar.

 

10 years ago

Vijimambo

STORI KAMILI YA FAMILIA ILIYOTEKETEA KWA MOTO DAR

Dar es Salaam. “Yesu tuokoe, Yesu tuokoe”. Ndiyo sauti ya mwisho iliyosikia toka kwenye nyumba ya vyumba vitatu na sebule iliyoteketea kwa moto na kusababisha watu sita wa familia moja kupoteza maisha, huku miili ya baba na mama wa familia hiyo ikikutwa pamoja imekumbatiana, ikiwa ni ishara ya kufa pamoja.Kila aliyekuwepo kwenye eneo la tukio alikuwa ni mwenye simanzi, hasa waumini wenzake wa Kikristo kwakuwa jana (Jumamosi) ilikuwa ni zamu ya familia hiyo kuwa wenyeji wa sala ya pamoja ya...

 

9 years ago

Vijimambo

HABARI KAMILI YA WATU 9 WALIOTEKETEA KWA MOTO BUGURUNI

WATU tisa wa familia moja wamekufa kwenye ajali ya moto ulioteketeza nyumba yao jijini Dar es Salaam, huku baba wa familia akinusurika kwa kuwa alikuwa amekwenda msikitini kuswali.

Nyumba hiyo iliyoteketea iko Mtaa wa Gulam katika eneo la Buguruni Malapa na baba wa familia hiyo, Masoud Matal hali yake ni mbaya. Marehemu hao walizikwa jana katika makaburi ya Kisutu.

Wakizungumza na mwandishi, majirani walisema marehemu hao walikutwa wamekumbatiana baada ya kupiga kelele kwa muda mrefu wakiomba...

 

10 years ago

Mwananchi

Uwanja wa Jamhuri kamili kwa Ligi Kuu msimu huu

Maandalizi ya mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2014/2015 kati ya Mtibwa Sugar na Yanga SC yamekamilika mkoani hapa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani