Roberto wa ‘Amarula’ kutumbuiza Dar, December 11
Amehit mno kwa wimbo wake Amarula. Hata watoto wadogo wamesikika wakiuimba wimbo huo.
Na sasa mashabiki wa muziki wa Dar es Salaam watapata fursa ya kumuona live mkali huyo kutoka nchini Zambia.
Roberto atatumbuiza Ijumaa ijayo, December 11 kwenye fukwe za Escape One maeneo ya Mikocheni, Dar es Salaam kwa kiingilio cha shilingi elfu kumi tu.
Hii ni mara ya kwanza kwa msanii huyo wa Brotherhood Music Crew, kutumbuiza Dar, lakini ya pili Tanzania kwakuwa miezi kadhaa iliyopita...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo511 Dec
Roberto wa ‘Amarula’ awataja wasanii wa Tanzania aliofanya nao collabo
![Roberto](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Roberto-300x194.png)
Hit maker wa ‘Amarula’, Roberto kutoka Zambia amewataja wasanii wa Tanzania ambao tayari amefanya nao kazi na ambao anatarajia kufanya nao collabo.
Roberto ambaye amekuja Tanzania kwaajili ya show leo Dec 11 jijini Dar, amesema amefanya collabo na Vanessa Mdee na wanatarajia kuitoa mwakani.
“Wimbo niliofanya na Vanessa umekamilika, sasa tunafanyia kazi mipango ya kuitoa unajua nina mheshimu Vanessa na muziki wake na yeye ananiheshimu pia hivyo tulikubaliana tusiitoe hivi hivi tu tuwe na...
9 years ago
MichuziMWANAMUZIKI ROBERTO AMARULA KUTOKA ZAMBIA KUTUMBUIZA DAR ES SALAAM, DODOMA KATIKA TAMASHA LA INSTAGRAM WIKIENDI HII
9 years ago
Dewji Blog11 Dec
Roberto kufanya ziara ya kimuziki ya siku mbili nchini, kutumbuiza leo Escape One na kesho Dodoma
Meneja Mawasiliano wa Freconic Ideaz, Krantz Mwantepele (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari wakati wa kumtambulisha msanii maarufu kutoka nchini Zambia, Roberto Amarula (wa tatu kushoto) anayetarajiwa kutumbuiza leo katika fukwe za Escape One Mikocheni jijini Dar kabla ya kuelekea Dodoma kwenye tamasha la Instagram Party kesho Jumamosi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Freconic Ideaz, Fred Ngimba akizungumzia kuhusu ziara ya Roberto Amarula nchini.
Mwanamuziki na...
9 years ago
BBC11 Dec
Africa in pictures: 4 December - 11 December 2015
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/71883000/jpg/_71883906_babieskenya19reu.jpg)
9 years ago
BBC18 Dec
Africa in pictures: 12 December - 17 December 2015
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/79676000/jpg/_79676660_zimbabwe.jpg)
10 years ago
Michuzi25 Sep
9 years ago
Bongo512 Oct
Wizkid kutumbuiza Dar mwezi huu