Roberto wa ‘Amarula’ awataja wasanii wa Tanzania aliofanya nao collabo
Hit maker wa ‘Amarula’, Roberto kutoka Zambia amewataja wasanii wa Tanzania ambao tayari amefanya nao kazi na ambao anatarajia kufanya nao collabo.
Roberto ambaye amekuja Tanzania kwaajili ya show leo Dec 11 jijini Dar, amesema amefanya collabo na Vanessa Mdee na wanatarajia kuitoa mwakani.
“Wimbo niliofanya na Vanessa umekamilika, sasa tunafanyia kazi mipango ya kuitoa unajua nina mheshimu Vanessa na muziki wake na yeye ananiheshimu pia hivyo tulikubaliana tusiitoe hivi hivi tu tuwe na...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo503 Dec
Roberto wa ‘Amarula’ kutumbuiza Dar, December 11
Amehit mno kwa wimbo wake Amarula. Hata watoto wadogo wamesikika wakiuimba wimbo huo.
Na sasa mashabiki wa muziki wa Dar es Salaam watapata fursa ya kumuona live mkali huyo kutoka nchini Zambia.
Roberto atatumbuiza Ijumaa ijayo, December 11 kwenye fukwe za Escape One maeneo ya Mikocheni, Dar es Salaam kwa kiingilio cha shilingi elfu kumi tu.
Hii ni mara ya kwanza kwa msanii huyo wa Brotherhood Music Crew, kutumbuiza Dar, lakini ya pili Tanzania kwakuwa miezi kadhaa iliyopita...
9 years ago
Bongo509 Oct
Msanii wa Nigeria Runtown awataja wasanii wawili wa Tanzania anaowakubali zaidi
10 years ago
Bongo506 Feb
AY atoa funzo kwa wasanii wenye malengo ya kufanya collabo na wasanii wa nje
9 years ago
Bongo502 Dec
Joh Makini ataja ma-rapper wanne wa kimataifa anaotamani kufanya nao collabo
‘Don’t Bother’ imetimiza moja ya ndoto alizokuwa nazo rapa wa Weusi, Joh Makini za kuja kufanya collabo na rapa wa Afrika Kusini Kiernan Jarryd Forbes a.k.a AKA.
Joh Makini amewataja ma-rapper aliokuwa, na ambao bado anatamani kuja kufanya nao collabo pindi fursa hiyo itakapojitokeza, akiwemo AKA ambaye tayari amefanikiwa kufanya naye ‘Don’t Bother’ inayofanya vizuri kwa sasa.
“Unajuaga kunakuwaga na watu wako flani ambao unawaskilizaga pia na unapenda wanachokifanya kwamba siku ikitokea ...
10 years ago
Bongo508 May
Wakazi aeleza kwanini haikuwa rahisi kufanya collabo na kina Wiz Khalifa, Kanye West na Diddy alipokutana nao
10 years ago
Bongo522 Jun
Diamond asitisha kupokea maombi ya collabo za wasanii wa Nigeria
10 years ago
Bongo514 Sep
Wycleif Jean kufanya collabo na Shaa na wasanii wa Coke Studio Africa
10 years ago
Bongo504 Mar
Collabo za wasanii wa Afrika Mashariki na Magharibi zinazidi kuongezeka, Sasa ni Chameleone (UG) na Patoranking (NG)
9 years ago
Bongo502 Oct
Vitu gani wasanii wa nje wanavyoviangalia kabla ya kukubali kufanya collabo? — Shetta ana majibu