Vitu gani wasanii wa nje wanavyoviangalia kabla ya kukubali kufanya collabo? — Shetta ana majibu
Collabo za kimataifa ni kitu muhimu kwa mwanamuziki yeyote mwenye malengo ya kujitangaza zaidi nje ya mipaka ya nyumbani. Japo sio kazi rahisi kwa msanii kupata collabo na wasanii wakubwa wa nje kama msanii huyo asipozingatia vitu muhimu. Moja ya faida za collabo ni pande zote mbili kupata mashabiki wapya kutoka kila upande wa wasanii […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo506 Feb
AY atoa funzo kwa wasanii wenye malengo ya kufanya collabo na wasanii wa nje
5 years ago
BBCSwahili23 Mar
Coronavirus: Je, virusi vinaweza kukaa kwa muda gani katika vitu kabla kusababisha maambukizi?
10 years ago
Bongo514 Sep
Wycleif Jean kufanya collabo na Shaa na wasanii wa Coke Studio Africa
9 years ago
Bongo511 Nov
Sio kwamba kila msanii wa nje tutampapatikia kufanya naye collabo — Joh Makini
![Johmakini.1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/09/Johmakini.1-300x194.jpg)
Ni karibia saa 24 toka mashabiki wa muziki wa Afrika waishuhudie kwa mara ya kwanza video ya wimbo mpya wa rapper wa Tanzania Joh Makini ‘Don’t Bother’ ambayo kamshirikisha rapper wa Afrika Kusini AKA iliyotambulishwa kwa mara ya kwanza na MTV Base Nov.10.
Ni wazi kuwa collabo hiyo itawasaidia Joh Makini na AKA kuongeza mashabiki wapya kutokana na kwamba wote ni wasanii wakubwa kwenye nchi zao na tayari wana fanbase kubwa, lakini Joh Makini pia ametoa maoni yake juu ya mitazamo ya watu...
9 years ago
Bongo521 Nov
Mwasiti awataka wasanii kuacha kufuata mkumbo kufanya video nje
![12093648_1677922595778221_1833644946_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12093648_1677922595778221_1833644946_n-300x194.jpg)
Mwasiti Almas amewataka wasanii kuacha kufuata mkumbo wa kwenda kufanya video nje wakati bado hawajajipanga jinsi ya kufanya mwendelezo.
Akizungumza na Bongo5 leo, Mwasiti amesema wasanii wanatakiwa kujiangalia mara mbili mbili kabla ya kufanya maamuzi hayo.
“Kwanza kabisa tusifuate mkumbo, tusifuate mkumbo kwa sababu fulani na fulani wamefanya video Afrika Kusini na wewe au wote tukafanye video Afrika Kusini,” amesema.
“Kwanza lazima ujiangalie kama kweli huo ni wakati wako. Hata mimi...
10 years ago
Bongo Movies28 Apr
Majibu ya Mwigizaji Rose Ndauka Baada ya Kuhusishwa na Matatizo ya Ndoa ya Shetta
Baada ya kuenea kwa taarifa kuwa ndoa ya msanii wa bongo fleva, Shetta imevunjika baada ya taarifa kumfikia mke wake kuwa msanii huyo anamahusiano na staa mrembo wa Bongo Movies, Rose Ndauka.
Akijibu shutuma hizo, Rose Ndauka alijibu haya alipoulizwa na Soudy Brown wa Clouds FM kwenye kipindi cha XXL.
“Kwanza kitu ambacho ningependa kumuambia asipende kusikiliza watu.. la pili kitu chochote ambacho kinahusiana na mahusiano sio vizuri kupeleka kwenye public… hata ingekuwa ni ukweli...
9 years ago
Bongo527 Nov
Linah ana collabo mbili za kimataifa kibindoni
![12298833_944662165599178_1629279455_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12298833_944662165599178_1629279455_n-300x194.jpg)
Linah Sanga amesema tayari ameshafanya collabo mbili na wasanii wa kimataifa na amepanga kuzitoa mwakani.
Ameiambia Bongo5 kuwa kazi hizo zitatoka mwakani kutokana na muda uliobaki kila msanii kutaka kutoa wimbo.
“Kabla sijafunga mwaka nilikuwa nataka kufanya kolabo kubwa za kimataifa. Nashukuru tayari nimefanikiwa ila siwezi kuziweka wazi nimefanya na nani na nchi gani.
Lakini ni kubwa na nimeshindwa kuziachia kwa sasa kutokana na muda uliobaki. Ila mashabiki wangu sitawaacha hivyo hivyo,...
9 years ago
Bongo524 Aug
Vitu unavyotakiwa kujua kabla ya kuanzisha biashara yako
10 years ago
Bongo Movies19 Mar
Jokate Afunguka “Hasheem Thabit Ana Vitu Amazing, Diamond Sikuenjoy Sana....”
Mrembo na Staa wa Bongo Movie Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amesema kuwa katika mahusiano yake ya kimapenzi alitokea sana kumzimikia Hasheem Thabit kuliko Wanaume wote aliowahi kutoka nao kimapenzi Bongo .
Akizungumza na Gazeti la Kiu hivi karibuni, Kidoti amesema kwa sababu ambazo amezihifadhi moyoni mwake Hasheem alikuwa na vitu adimu sana ambavyo hawezi kuvitaja.
Kuhusu Diamond ambae pia amewahi kutoka nae, Kidoti amesema hakuenjoy nae kwani yalikuwa mapenzi ya muda mchache sana.