Jokate Afunguka “Hasheem Thabit Ana Vitu Amazing, Diamond Sikuenjoy Sana....”
Mrembo na Staa wa Bongo Movie Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amesema kuwa katika mahusiano yake ya kimapenzi alitokea sana kumzimikia Hasheem Thabit kuliko Wanaume wote aliowahi kutoka nao kimapenzi Bongo .
Akizungumza na Gazeti la Kiu hivi karibuni, Kidoti amesema kwa sababu ambazo amezihifadhi moyoni mwake Hasheem alikuwa na vitu adimu sana ambavyo hawezi kuvitaja.
Kuhusu Diamond ambae pia amewahi kutoka nae, Kidoti amesema hakuenjoy nae kwani yalikuwa mapenzi ya muda mchache sana.
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies19 Jul
Baada ya Ushindi wa Tuzo, Diamond Atupa Dongo kwa Jokate, Jokate Naye Ajibu
Usiku wa jana kuamkia leo July 19 2015 Diamond Platnumz kanyanyua ushindi mwingine kwenye Tuzo za MTVMAMA2015, zilizokuwa zikitolewa Durban Africa Kusini.
Leo Diamond alipost Video inayomwonesha staa wa Mitindo Bongo, mrembo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ akicheza wimbo wa ‘Mdogomdogo‘ alafu akaandikia hivi >>>> ‘Mbona Bado, Mtanyooka tu..‘ >>>> @ diamondplatnumz
Baadae Jokate nae akaandika kwenye ukurasa wake wa @Instagram kuhusu video hiyo ambayo alimpost Diamond.
Tuki-support mtu ndio kama hivi...
9 years ago
Bongo502 Oct
Vitu gani wasanii wa nje wanavyoviangalia kabla ya kukubali kufanya collabo? — Shetta ana majibu
11 years ago
GPL29 Mar
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/R6PRPxw93vk/default.jpg)
GLOBAL TV ONLINE : JOKATE AFUNGUKA KUHUSU BIDHAA ZA KAMPUNI YAKE.
Imefichuka! Sexy lady mtafutaji anayejishughulisha na fani lukuki ikiwemo urembo na muziki, Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ kwa mara ya kwanza ameweka wazi kwamba alitaka kunywa sumu kisa kikiwa ni kuumizwa kimapenzi na mwanaume aliyempenda kupindukia, aya zifuatazo zimesheheni.
10 years ago
Bongo Movies09 Jun
Jokate Mwegelo Afunguka kwa Mara ya Kwanza Kuhusu Uhusiano Wake na Alikiba
Wengi wanaamini kuwa Jokate Mwegelo na Alikiba kwasasa ni mtu na mpenzi wake japo wao hawajathibitisha hilo rasmi. Tetesi na hisia juu ya wawili hao kuzama kwenye dimbwi la mahaba zinachangiwa na picha zao kadhaa zinazoenea kwenye mtandao picha wa Instagram.
Lakini hatimaye Jokate amefunguka kwa mara ya kwanza kupitia mahojiano yake na Global TV. “Ni kwasababu Alikiba anapenda sana muziki na anajua muziki na anajua style mbalimbali.
Halafu ukitaka kuwa the best you obviously need to be...
10 years ago
Bongo Movies28 Apr
Jokate:Kuna Mtu Namtamani Sana Kimapenzi na Ninamvutia Kasi Nimpate
Staa mrembo wa Bongo Movies na Bongo Fleva ambaye pia mwanamitindo na mjasiliamali Jokate Mwegelo 'jojo' au Kidoti amefunguka kuwa kuna mtu anamtamani sana kimapenzi na anamvutia kasi kumpata
Akizungumza kwenye show weekend “the playlist” ndani ya studio za Times FM, Kidoti, alisanuka hayo akihusisha ukweli huo na kile alichokiimba kwenye hit single yake “Leo leo” na Ice Prince
“Yah nyimbo inahusiana coz kuna mtu namtamani sana yani, ila akizingua tu nambwaga bado namuangalia” alisema...
10 years ago
Vijimambo27 Nov
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xkVCMRT4uG9PAJjc7fDVlV40CAdl7JDDJqil*4qEDvUHciEsKLkQPKPGOe-XvxPJRgPOijEj4wbU6atCg4kT61GujEwj2zlV/7.jpg?width=650)
KAMA MPENZI WAKO ANA WIVU, HII INAKUHUSU SANA!