Jokate:Kuna Mtu Namtamani Sana Kimapenzi na Ninamvutia Kasi Nimpate
Staa mrembo wa Bongo Movies na Bongo Fleva ambaye pia mwanamitindo na mjasiliamali Jokate Mwegelo 'jojo' au Kidoti amefunguka kuwa kuna mtu anamtamani sana kimapenzi na anamvutia kasi kumpata
Akizungumza kwenye show weekend “the playlist” ndani ya studio za Times FM, Kidoti, alisanuka hayo akihusisha ukweli huo na kile alichokiimba kwenye hit single yake “Leo leo” na Ice Prince
“Yah nyimbo inahusiana coz kuna mtu namtamani sana yani, ila akizingua tu nambwaga bado namuangalia” alisema...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/JOKATE-3.jpg?width=650)
JOKATE: SIJAONA WA KUMWAMINI KIMAPENZI
9 years ago
Bongo Movies14 Sep
Jokate: Sijaona wa Kumwamini Kimapenzi
LICHA ya kuzagaa kwa tetesi juu ya uhusiano wake na msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba, mwanamitindo Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amesema kutokana na kuumizwa na mapenzi mara kwa mara, kwa sasa hajaona mwanaume wa kumuamini hivyo anaelekeza nguvu na akili zake kwenye kazi.
Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, Jokate alisema ni ngumu kwa watu kuamini kuwa amekuwa akiumizwa na mapenzi mara kwa mara, kutokana na muonekano wa urembo alionao, lakini ukweli unabaki kuwa, anaumizwa na...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-GCOZ5xGq6vY/VPLKi9UPXkI/AAAAAAADbAg/XXBFKVdlrOI/s72-c/_MG_4151.jpg)
USWAHILI KUNA RAHA SANA
![](http://3.bp.blogspot.com/-GCOZ5xGq6vY/VPLKi9UPXkI/AAAAAAADbAg/XXBFKVdlrOI/s1600/_MG_4151.jpg)
9 years ago
Bongo518 Nov
Kuna siasa nyingi sana nyuma ya huu muziki – Q-Chief
![Chilla](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Chilla-300x194.jpg)
Mwimbaji wa Bongo Fleva, Q-Chilla amesema kuwa muziki wa Bongo umetawaliwa na siasa nyingi, kitendo kinachosababisha wengi wao kushindwa kufanikiwa.
“Kuna politics nyingi sana nyuma ya huu muziki, siasa ambazo kwa namna moja au nyingine zinawademoralize wasanii,” alisema Q-Chief kupitia Planet Bongo ya East Africa Radio. “kwa sababu watu wana talent zao, watu wana vision zao lakini wamewekewa limitation ya vile vitu wanakusudia kuvifanya, kwa hiyo we ukiona wanaweka bariers nyingi you...
10 years ago
Bongo Movies19 Mar
Jokate Afunguka “Hasheem Thabit Ana Vitu Amazing, Diamond Sikuenjoy Sana....”
Mrembo na Staa wa Bongo Movie Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amesema kuwa katika mahusiano yake ya kimapenzi alitokea sana kumzimikia Hasheem Thabit kuliko Wanaume wote aliowahi kutoka nao kimapenzi Bongo .
Akizungumza na Gazeti la Kiu hivi karibuni, Kidoti amesema kwa sababu ambazo amezihifadhi moyoni mwake Hasheem alikuwa na vitu adimu sana ambavyo hawezi kuvitaja.
Kuhusu Diamond ambae pia amewahi kutoka nae, Kidoti amesema hakuenjoy nae kwani yalikuwa mapenzi ya muda mchache sana.
9 years ago
BBCSwahili16 Aug
Djokovic:''Kuna mtu anavuta bangi ''
10 years ago
Dewji Blog18 Oct
LAPF mfuko unaokua kwa kasi sana
Meneja wa Takwimu,Tathmini na Hadhari toka Mfuko wa Pensheni wa LAPF Bw.Aboubakar Ndwata akiwaeleza waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali unaofanywa na mfuko huo ukiwemo wa jengo linalokadiriwa kuwa refu zaidi jijini Dar es salaam lenye urefu wa gorofa 30 ambalo limejengwa Kijitonyama jijini Dar es salaam likiwa na thamani ya Shilingi bilioni 58, kulia ni Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko huo Bw.James Mlowe na kushoto ni meneja Matekelezo...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-76sBHvAeeWs/Uy3h-lcxvQI/AAAAAAAFVtQ/LWLSatmtK8k/s72-c/_73747599_73747598.jpg)
10 years ago
Bongo531 Jul
Cpwaa: Kuna umuhimu wa kurudisha ile original Bongo Fleva, watu wanaigana sana