Ronaldinho kutua Ligi ya England
RIO DE JANEIRO, BRAZIL
NYOTA wa zamani wa timu ya Taifa ya Brazil na klabu ya Barcelona, Ronaldinho, anatarajia kutua nchini England kutokana na ofa anazopata.
Mchezaji huyo ambaye kwa sasa yupo huru tangu alipoondoka katika klabu yake ya Fluminense, amekuwa akitajwa na baadhi ya klabu nchini England ambapo kuna uwezekano mkubwa wa mchezaji huyo kujiunga Februari mwaka huu.
Kaka wa mchezaji huyo ambaye ni wakala wake, Roberto, amesema hadi sasa amepokea ofa zaidi ya mbili kutoka England,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi04 Sep
Wachezaji huru wanaoweza kutua England
5 years ago
BBCSwahili26 Jun
Taji la ligi ya England: Jinsi kocha Jurgen Klopp alivyoisaidia Liverpool kushinda taji la Ligi ya Primia.
5 years ago
Bongo514 Feb
Sissoko kutua ligi ya Indonesia
Klabu ya ligi kuu ya Indonesia Mitra Kukar ambao ni mabingwa mara tatu ligi hiyo wametangaza kwamba wameafikiana kuhusu kumnunua mchezaji wa zamani wa Mali, Liverpool, PSG na Valencia Mohamed Sissoko.
Wameamua kumpa mchezaji huyo mkataba wa mwaka mmoja.
Sissoko ambaye ana miaka 32, ambaye amewahi kuchezea soka nchini China na India anatarajiwa kujiunga na klabu hiyo baada ya kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu.
Akifanikiwa, huenda akachezea Mitra mechi yao ya pili msimu huu ligini dhidi ya...
9 years ago
BBCSwahili11 Dec
Ligi kuu England kuendelea
10 years ago
Michuzi
11 years ago
BBCSwahili02 Jan
Arsenal yapeta Ligi Kuu England
11 years ago
BBCSwahili31 Oct
Kivumbi cha Ligi kuu England
9 years ago
BBCSwahili23 Nov
Tottenham Yatakata Ligi kuu England.
10 years ago
GPL
LIGI KUU ENGLAND MECHI ZA LEO