ROONEY NAHODHA MPYA ENGLAND

KOCHA wa England, Roy Hodgson amemteua mshambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney kuwa nahodha mpya wa timu hiyo ya taifa. Rooney mwenye miaka 28 amechukua mikoba iliyoachwa na kiungo wa Liverpool, Steven Gerrard aliyestaafu. Rooney aliwahi kuvaa kitambaa cha unahodha akiiongoza England kwenye mechi ya kufuzu kucheza Kombe la Dunia dhidi ya San Marino, Oktoba 2012. Staa huyo amewapiku wachezaji wenzake kipa Joe Hart na beki...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo528 Aug
Rooney achaguliwa kuwa nahodha mpya wa England
9 years ago
Africanjam.Com
SUPPORTERS NAME ENGLAND CAPTAIN WAYNE ROONEY ENGLAND PLAYER OF THE YEAR

10 years ago
BBCSwahili09 Sep
Rooney avunja rekodi ya magoli England
10 years ago
GPL
WAYNE ROONEY AIFUNGIA ENGLAND GOLI LA 50
10 years ago
TheCitizen17 Nov
I won’t walk away from England, vows Rooney
10 years ago
Africanjam.Com
WAYNE ROONEY REMAINS THE TALISMAN, BUT ENGLAND NEED MORE GOALS

Barring injury, September against San Marino should see Rooney surpass Gary Lineker, level on 48,...
11 years ago
TheCitizen19 Jun
BRAZIL 2014: Rooney lashes out at media claims over future with England
11 years ago
TheCitizen19 Jun
Brazil 2014: Much rests for Suarez, Rooney as Uruguay confront England