ROSE MUHANDO AYASUSA MAZISHI YA DADA'KE!

Stori: Dunstan Shekidele, Morogoro Why? Mwimbaji maarufu wa nyimbo za lnjili Bongo, Rose Muhando ameshindwa kuhudhuria mazishi ya dada yake wa damu, jambo lililowakera baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki. Waombolezaji wakiwa msibani. TUJIUNGE KIJIJI CHA MAGOLE Ishu hiyo ilijiri wikiendi iliyopita nyumbani kwa wazazi wa staa huyo katika Kijiji cha Magole, Dumila wilayani Kilosa mkoani hapa ambapo dada wa tumbo moja (toka,...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
ROSE MUHANDO MGONJWA
10 years ago
GPL
ROSE MUHANDO AWEWESEKA
11 years ago
GPL
ROSE MUHANDO MBARONI!
10 years ago
Habarileo18 Aug
Rose Muhando matatani
MUIMBAJI maarufu hapa nchini wa nyimbo za Injili, Rose Muhando anatafutwa na waandaaji wa tamasha la Injili wilayani Simanjiro mkoani Manyara kwa madai ya kutoonekana kutumbuiza kama jinsi walivyokubaliana.
10 years ago
GPL
ROSE MUHANDO AOMBA RADHI!
11 years ago
GPL
ROSE MUHANDO AMTAMANI GWAJIMA
10 years ago
GPL
ROSE MUHANDO KWA UTAPELI TOO MUCH!
10 years ago
GPL
ROSE MUHANDO AMWAGA MACHOZI