ROSE NDAUKA ANASWA AKIHAHA PENZI LA T.I
![](http://api.ning.com:80/files/NDILiAzzLEUMmL-aWHOUWiipQ3uTB6kI-dx2wnEPnoiYRHIUnp10he5rfpmro0YkEJqGDgTkHsWQU0DiD57D3wCVpunrZ9hf/rose.jpg)
Stori: Erick Evarist MAHABAT! Katika hali ya kushangaza, staa wa sinema za Kibongo, Rose Ndauka alinaswa akihaha kumtia kwenye himaya ya penzi lake Rapa kutoka Marekani, Clifford Joseph Harris ‘T.I’. Rapa kutoka Marekani, Clifford Joseph Harris ‘T.I’. Tukio hilo lililofuatiliwa hatua kwa hatua na mwanahabari wetu lilitokea usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita katika Viwanja vya Leaders Club...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zQ2pP5BJqrXBDSgnS-2sNGPjv8St-h*VQh5tU8NWuDf42EIFp*HK2qVLcET4hC9Yagc1UXnOFzJy103Gvfrv-EbNoryJo9nO/Ndauka.jpg?width=650)
ROSE NDAUKA, MANECKY PENZI ZITO!
10 years ago
Bongo530 Sep
Rose Ndauka na Chiwaman waachana, ndoto za ndoa zayeyuka, Rose athibitisha
10 years ago
GPLALIYEKUWA MCHUMBA WA ROSE NDAUKA, MALICK BANDAWE ATEMBELEA GPL, AFUNGUKA KISA CHA KUACHANA NA ROSE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LRabT8flycFhwt31oy7U4ORJMENKY9BM6cqo15IegDzbC7n1d97ePI0XcoH-v985NhQeTjaCBff5nAQq5UdcSNLl6xS5qoLU/rose.jpg)
ROSE NDAUKA HAKAMATIKI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/u325ipbpd7r6sNXtBn71TOLW-G0NnokLcITIabRTPB5gbLawG4qmRtpa7BNIp5PYtKdfLreQ*DhJGaNWun1hd2pfvUVylc2O/rose.jpg?width=650)
ROSE NDAUKA AJIFUNGUA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/I0fvYV0V5N5MmInSi-jD2H*ELb3ovjEEoKGBj2IXT*i42qY*vIUGik37eFXC*LASP0HZyJk7hZ0OgODtt7xzkzqyLXrddYbq/mnenguaji.jpg?width=650)
MNENGUAJI TWANGA ANASWA AKILILIA PENZI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Q9JKAyO9-k4*HlhbisNz6nt9-5LHlOq6tf*OGSTh5Z7-8pquj05OtNzVnd-UTr8RDNWQLOS0y9imxc157Xw67RY5exOgtEjl/ROSE.jpg?width=650)
ROSE NDAUKA AYACHANA MAKUNDI
10 years ago
Bongo Movies05 May
Mvua ya Mkwamisha Rose Ndauka
Staa wa Bongo Movies Rose Ndauka amesema anakerwa na mvua zinazoendelea kunyesha hapa jijini Dar kwa kuwa zinavuruga kazi zake za kumwingizia kipato.
Staa huyo alisema kazi zake nyingi zinafanyika katika hali ya kutokuwa na mvua lakini kila anapopanga kufanya kazi hizo mvua hunyesha na kumharibia mipango yake.
“Mvua naichukia maana kila ninapojipanga kwa kazi inanyesha lakini sina la kufanya kwa kuwa Mungu ndiye anayepanga inyeshe ila inakwamisha kazi zangu,” alimaliza Rose Ndauka.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yl8XiM-qOZZBD8YLdGNM--jthscytZ1DZwMgTeVLw4J7C*ksRkqGcDCksC4VD115XWeZF36O3WKcWlWP3ktG5y-A5Zaf9I88/ndauka.jpg?width=650)
ROSE NDAUKA: SIWEZI KUZEEKA