Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MNENGUAJI TWANGA ANASWA AKILILIA PENZI

Stori: Issa Mnally
Ufuska mtupu! Mnenguaji wa kiume wa Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’, Bakari Kisongo ‘Mandela’ ametoa kali ya kufungia mwaka baada ya kunaswa ‘laivu’ akililia penzi kutoka kwa dada aliyetajwa kwa jina moja la Zainab.  Bakari Kisongo ‘Mandela’ (kushoto) ametoa kali ya kufungia mwaka baada ya kunaswa ‘laivu’ akililia penzi kutoka kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ROSE NDAUKA ANASWA AKIHAHA PENZI LA T.I

Stori:  Erick Evarist
MAHABAT! Katika hali ya kushangaza, staa wa sinema za Kibongo, Rose Ndauka alinaswa akihaha kumtia kwenye himaya ya penzi lake Rapa kutoka Marekani, Clifford Joseph Harris ‘T.I’. Rapa kutoka Marekani, Clifford Joseph Harris ‘T.I’.
Tukio hilo lililofuatiliwa hatua kwa hatua na mwanahabari wetu lilitokea usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita katika Viwanja vya Leaders Club...

 

9 years ago

GPL

MWIGIZAJI WA GHANA, JOSELYN ANASWA NA PENZI LA WIZKID

Mwigizaji wa sinema wa Ghana, Joselyn Dumas. JOSELYN DUMAS mwigizaji wa sinema wa Ghana (Ghollywood), amejikuta amenasa katika penzi la mwanamuziki maarufu wa Nigeria, Wizkid, ambapo waliitumia wikiendi iliyopita wakila bata katika hoteli ya Transcorp Hilton Abuja wakati wa tamasha la Usiku wa Wasanii (Acoustic Night). Joselyn Dumas akiwa na WizKid. Katika tamasha hilo, Joselyn alikutana pia na mwanamuziki Darey Art Alade ambaye...

 

5 years ago

Mwananchi

Mbowe atoa ya moyoni akililia demokrasia

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amemtaka Rais John Magufuli kuacha kuwafunga mdomo Watanzania na kuijenga Tanzania kuwa Taifa la hofu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mnenguaji ahukumiwa Misri

Mnenguaji wa kike nchini Misri amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja kwa kosa la kuonekana kwenye video yenye utata mtandaoni.

 

10 years ago

Mwananchi

Mnenguaji Aisha Madinda afariki dunia

Aliyekuwa mnenguaji mahiri wa bendi ya Twanga Pepeta na Extra Bongo, Aisha Madinda amefariki dunia leo katika Hospitali ya Mwananyamala, jiji Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Pumzika kwa amani mnenguaji Aisha Madinda

Jumatano hii iliyopita, mmoja kati ya wanenguaji waliokuwa nguzo ya Bendi ya The African Stars Band, hasa katika safu ya unenguaji, Aisha Mohamed Mbegu `Madinda’ alifariki dunia.

 

11 years ago

GPL

UNDANI MNENGUAJI WA KHANGA MOKO ALIYEPIGWA RISASI

Stori: Shakoor Jongo na Emelda Tarimo MNENGUAJI wa Kundi la Kanga Moko, Zawia Hamis  ambaye usiku wa Jumatano iliyopita alipigwa risasi mbili mwilini  na mtu aliyedaiwa ni askari polisi, ameweka undani wa sakata hilo. Mnenguaji wa Kundi la Kanga Moko, Zawia Hamis akionyesha sehemu alikopigwa risasi mbili mwilini na mtu aliyedaiwa ni askari polisi. Akizungumza na… ...

 

10 years ago

Michuzi

JUST IN: mnenguaji aisha madinda afariki dunia leo

ALIYEKUWA mnenguaji mahiri wa bendi ya muziki wa dansi nchini Aisha Mohammed Mbegu maarufu kama Aisha Madinda amefariki dunia leonyumbani kwao Kigamboni Jijini Dar es Salaam. Kiongozi wa bendi ya Twanga Pepeta Luizer Mbutu amethibitisha kuwa Aisha amefariki dunia na alifia nyumbani kwao sababu ambazo bado hazijafahamika. Akizunumza kwa masikitiko Mbutu alisema kwamba mwili wa merehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala.“Hapa nilipo natetemeka kwa msiba huu sababu marehemu...

 

10 years ago

Mwananchi

Tshala Muana: Mnenguaji, mwanamuziki aliyeibukia kwenye siasa

Unapotaja wanawake waliotikisa kwenye miondoko ya Soukous barani Afrika lazima Tshala Muana atakuwa kwenye orodha hiyo, lakini akibamba zaidi na mtindo wake wa Mutuash.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani