Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ROSE NDAUKA: TUMEMALIZA BIFU, SASA KAZI TU!

Na Gladness Mallya STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka  amefunguka kuwa kwa sasa yeye na msanii mwenzake, Jacqueline Pentzel ‘Jack Chuz’  ambaye aliwahi kukwaruzana naye wameshamaliza na kujikita katika kazi zaidi. Staa wa filamu Bongo, Rose Ndauka. Akichonga na paparazi wetu, Rose alisema wamerudi kwa staili ya tofauti kwani kila mmoja anafanya kazi zake lakini wanashirikishana na wana ‘project’...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BABA: ROSE NDAUKA OLEWA SASA!

CHANDE ABDALLAH/Amani BABA mzazi wa staa wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka, Donatus Ndauka anadaiwa kumtaka mwanaye huyo kuangalia uwezekano wa kuingia maisha ya ndoa kwa vile siku zinakatika kama mvua za masika. Staa wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka. Kwa mujibu wa chanzo, baba huyo mwenye makazi yake jijini Tanga alimpigia simu mwanaye mapema wiki hii baada ya kusoma habari kupitia Magazeti ya Global ikimkariri mzazi mwenzake...

 

10 years ago

GPL

ROSE NDAUKA SASA KILA KITU NI MAMA YAKE

Stori: Laurent Samatta    
HATIMAYE diva wa filamu Bongo, Rose Ndauka ametoa kali ya mwaka kwa kudai kuwa baada ya kutengana na mzazi mwezake sasa hapati tabu tena kwani mama yake mzazi amechukua nafasi hiyo na anampa mapenzi ya dhati ambayo hajawahi kupewa na mwanaume yeyote. Diva wa filamu Bongo, Rose Ndauka. Akizungumza na Uwazi, Rose alisema pamoja na kuwa kwenye uhusiano kwa muda mrefu lakini hakuwahi kupata...

 

9 years ago

Bongo Movies

Rose Ndauka: Nilithamini Mapenzi Kuliko Kazi

KAMA kawaida yetu mpenzi msomaji wa kolamu hii tumekuwa tukikukutanisha na mastaa mbalimbali na kuweza kuwauliza maswali yanayohusu kazi zao na maisha yao ya kawaida nje ya sanaa.

 

Wiki hii tunaye staa wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka ambaye amefunguka mambo mbalimbali aliyoulizwa na wasomaji katika kolamu hii na kuyatolea ufafanuzi.

 

1.Msomaji: Nimekuwa nikisikia wasanii wengi wakilalamika kuwa, soko la filamu hapa Bongo bado halilipi wewe unalizungumziaje hilo na umenufaika vipi...

 

10 years ago

Bongo5

Rose Ndauka na Chiwaman waachana, ndoto za ndoa zayeyuka, Rose athibitisha

Msanii wa filamu Rose Ndauka ambaye alikuwa mbioni kufunga ndoa na mzazi mwenzake, msanii wa kundi la TNG, Malick Bandawe maarufu kama King Chiwaman wameachana kutokana na kutoelewana ndani ya mahusiano yao. Rose Ndauka na Chiwaman Akizungumza na bongo5 leo, Rose amesema wamejaribu kukaa chini na kuyaweka sawa mahusiano yao lakini imeshindika na kuona sulihisho […]

 

10 years ago

GPL

ALIYEKUWA MCHUMBA WA ROSE NDAUKA, MALICK BANDAWE ATEMBELEA GPL, AFUNGUKA KISA CHA KUACHANA NA ROSE

Mwanamuziki Chiwa Malick Bandawe wakati akihojiwa na Global TV Online leo. Malick akijibu baadhi ya maswali ya wanahabari wakati akihojiwa na Global TV Online.…

 

11 years ago

Mwananchi

Warioba:‘Tumemaliza kazi yetu’

Siku moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua Bunge na kuponda ripoti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Joseph Warioba amesema jukumu walilopewa kwa mujibu wa sheria wamelikamilisha na wanawaachia wananchi waamue.

 

10 years ago

Mwananchi

Hoseah: Tumemaliza kazi yetu escrow

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, Dk Edward Hoseah amesema taasisi yake imeshafanya kazi ya kuchunguza uchotaji wa fedha katika Akaunti ya Tegeta Escrow.

 

11 years ago

GPL

ROSE, CHAZ BABA BIFU ZITO

Na Shakoor Jongo TIFU! Ni dhahiri kuwa sasa, staa wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka na Rais wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’ wapo kwenye bifu zito.Habari kutoka kwa chanzo chetu zinasema kuwa, chanzo cha bifu hilo ni fedha, ambapo Rose alikodisha gari la Chaz Baba kwa ajili ya matumizi yake lakini akalirudisha likiwa limeharibika na kumuomba Chaz alitengeneze kisha angemlipa fedha zake, lakini...

 

10 years ago

GPL

ROSE NDAUKA HAKAMATIKI

Stori: Musa Mateja
Acha kabisa! Baada ya kuachana na aliyekuwa mchumba’ke, Malick Bandawe kisha kurudi kwao, Kigogo jijini Dar, staa grade one wa Bongo Movies, Rose Donatus Ndauka anadaiwa hivi sasa hakamatiki hivyo hakauki viwanja. Staa grade one wa Bongo Movies, Rose Donatus Ndauka akiinjoi uhuru wa kuwa 'Single' Viwanja. Uchunguzi wa Ijumaa Wikienda ambalo limekuwa likimnyatia kwa ukaribu Rose unaonesha kwamba tangu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani