Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RUBANI LUBITZ ALIPATA MAJINAMIZI


Mchumba wa zamani wa rubani aliyedondosha ndege kusudi katika milima ya Ufaransa ya Alps, ananukuliwa na gazeti moja la Ujerumani akisema kuwa Andreas Lubitz alikuwa akipanga njama kubwa.Mwanamke huyo, muandalizi katika ndege, ambaye alikutana na rubani huyo kazini mwaka jana, aliliambia gazeti la
Bild kwamba rubani Lubitz alisema mara nyingi kwamba atafanya kitu ili kila mtu amkumbuke yeye ni nani.
Alimuelezea kuwa alikuwa mtu aliyekuwa akiteseka kichwani.
Mwandishi wa habari aliyemhoji dada...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Rubani Lubitz akipata majinamizi

Mchumba wa zamani wa rubani wa ndege iliyoaunguka Alps, asema rubani Lubitz alikuwa akiteseka kichwani

 

10 years ago

Vijimambo

Msanii KEISHA alipata ajali akitokea chuoni CBE



Msanii wa Bongo Fleva,Khadija Shabani’Keisha’ amenusurika kifo baada ya kupata ajali maeneo ya Maktaba, Posta jijini Dar.Akizungumza na Clouds Fm alisema kuwa alikuwa akitoka chuoni CBE na kwamba alikuwa akimfuata mumewe alipofika maeneo hayo ndipo lilipotokea gari na kumuovateki na kuligonga gari lake. Aidha alisema kuwa alisikia maumivu na alipokwenda hospitali kufanyiwa vipimo vilionyesha hakupata majeraha kwa ndani.
“Nashukuru Mungu nilipimwa hospitali vipimo vilionyesha sikupata madhara...

 

10 years ago

CloudsFM

Kumbe Dully alipata taarifa za kifo cha baba yake akijiandaa kupanda stejini kufanya shoo

Habari zinasema kuwa msanii wa Bongo Fleva,Dully Sykes alipata taarifa za msiba wa baba yake wakati akijiandaa kupanda stejini kwenye shoo moja iliyofanyika mwishoni mwa wiki hii maeneo ya Mbezi Luis,jijini Dar.

Kwa mujibu wa muandaaji wa shoo hiyo aitwaye Ney Steve alipost picha kwenye mtandao wa Instagram akimbembeleza Dully baada ya kupata taarifa hizo hivyo kushinda kupanda jukwaani. Picha hiyo iliambatana na maneno haya.. ney_steve Wakat unapanga lako Mungu nae anapanga lake.....Leo...

 

11 years ago

BBCSwahili

Rubani aliteka ndege ya Ethiopia

Rubani msaidizi ndiye aliyeiteka nyara ndege ya Ethiopia

 

10 years ago

BBCSwahili

Rubani alikuwa na matatizo ya kiakili

Viongozi wa mashtaka wa Ujerumani wanasema wamepata ushahidi unaosema kwamba rubani huyo alimficha mwajiri wake ugonjwa anaougua.

 

10 years ago

BBCSwahili

Nyumba ya rubani wa ndege yachunguzwa

Polisi wa Ujerumani wamegundua kile wanachosema kitawasaidia kubaini kiini cha rubani msaidizi Andreas Lubitz, kuangusha ndege

 

9 years ago

BBCSwahili

Rubani wa Urusi aokolewa Syria

Urusi inasema kuwa msaidizi wa rubani wa ndege ya kijeshi iliyodunguliwa na Uturuki hapo jana ameokolewa na kurejeshwa katika kambi yao ya kijeshi iliyoo Syria.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani