Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RUBY AKERWA NA WAKATISHA TAMAA

Msanii mwenye sauti ya kuvutia aliyeliteka soko la muziki wa Bongo Fleva kwa sasa, Hellen George ‘Ruby’ ametoa dukuduku lake moyoni juu ya watu wanaopenda kuwakatisha tamaa wasanii au mtu yeyote yule ambaye yuko kwenye harakati za kutafuta maendeleo kuwa hawezi kuyafikia malengo yake. Akiyazungumza hayo pasipo kung’ata maneno, Ruby amesema kwamba katika siku za kwanza kuanza muziki, alijitahidi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Urasimu wakatisha tamaa wachangia damu

MWITIKIO mdogo wa jamii katika uchangiaji damu wa hiari umetajwa kusababishwa na urasimu wa watumishi wa umma katika sekta ya afya, hasa kitengo cha damu salama kutokana na damu hiyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi wakatisha masomo

SHULE ya sekondari Hunyari iliyoko katika Wilaya ya Bunda mkoani Mara, inakabiliwa na changamoto ya utoro mkubwa wa wanafunzi kutokana na baadhi yao kukatisha masomo kwa kuo, kuolewa na wengine...

 

10 years ago

StarTV

Wanafunzi elfu kumi wakatisha masomo Mbeya.

Na Mkombe Zanda

Mbeya.

Wanafunzi 10,881 wa shule za Msingi na Sekondari mkoani Mbeya wameacha masomo mwaka 2014 kutokana na sababu mbalimbali utoro ukitajwa kuongoza kukatisha masomo ya wanafunzi hao.

 

Hali hiyo imesababisha mkoa wa Mbeya kufaulisha asilimia 47 pekee ya wanafunzi waliofanya mtihani wa darasa la saba mwaka 2014 hivyo kushindwa kufikia kiwango cha ufaulu kitaifa ambacho ni asilimia 70 chini ya Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa, BRN.

o que fazer viagra para homens

 

Idadi...

 

5 years ago

CCM Blog

UBOVU WA BARABARA WAKATISHA ZIARA YA NAIBU WAZIRI

Na James Timber, Mwanza.

Ubovu wa barabara uliopo Kata ya Bugogwa Halmashauri ya Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, umesababisha msafara wa Naibu Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi, Eliasi Kwandikwa kutoendelea na ziara kama ilivyopangwa.

Hali hiyo iliyozua sintofahamu katika ziara hiyo ilitokana na baadhi ya magari yaliyo kwenye msafara huo kukwama kwenye tope na mabonde na hivyo kuifanya ziara hiyo iliyokuwa ikiongozwa na Mwenyeji ambaye ni Mbunge wa jimbola Ilemela, Angeline Mabula...

 

10 years ago

Habarileo

808 wakatisha masomo Rukwa kwa mimba

WANAFUNZI wa kike wapatao 808 kutoka shule za msingi na sekondari mkoani Rukwa wamekatiza masomo yao baada ya kupata ujauzito katika kipindi cha miaka minne iliyopita.

 

11 years ago

Habarileo

UDA wekeni wakaguzi kudhibiti wakatisha ruti'

UONGOZI wa mabasi ya UDA umetakiwa kuweka wakaguzi wa mabasi katika vituo ili kuondoa matatizo ya kukatisha safari na kuongeza nauli.

 

9 years ago

Dewji Blog

WANAFUNZI WENYE ALBINISM: Wakatisha masomo baada ya shule yao kukosa chakula Mkoani Singida!

ZIADAKatibu Mkuu wa chama cha Albino Tanzania (TAS) Ziada Nsembo akizungumza kwenye semina ya uhabarisho juu ya majukumu ya waandishi wa habari kuibua na kuandika habari zinazohusu watu wenya ulemavu wa aina mbalimbali.

Na Nathaniel Limu

[SINGIDA] Jumla ya wanafunzi 37 wenye ulemavu wa ngozi (Albino) wa shule ya msingi mchanganyiko Izenga wilaya ya Iramba mkoani Singida,wamelazimika kukatisha masomo yao kwa muda usiojulikana kutokana na shule hiyo kukosa chakula.   Imedaiwa wanafunzi hao wa...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Motra Ft Ruby — One Day

Motra ni msanii mpya kutoka Classic Sound ameachia wimbo wake mpya unaitwa “One Day” amemshirikisha Mwanadada Ruby Producer Mona Gangstar. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani