Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UBOVU WA BARABARA WAKATISHA ZIARA YA NAIBU WAZIRI

Na James Timber, Mwanza.

Ubovu wa barabara uliopo Kata ya Bugogwa Halmashauri ya Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, umesababisha msafara wa Naibu Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi, Eliasi Kwandikwa kutoendelea na ziara kama ilivyopangwa.

Hali hiyo iliyozua sintofahamu katika ziara hiyo ilitokana na baadhi ya magari yaliyo kwenye msafara huo kukwama kwenye tope na mabonde na hivyo kuifanya ziara hiyo iliyokuwa ikiongozwa na Mwenyeji ambaye ni Mbunge wa jimbola Ilemela, Angeline Mabula...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO AFANYA ZIARA OFISI YA BODI YA MFUKO WA BARABARA

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Edwin Ngonyani ameitaka Bodi ya Mfuko wa Barabara kutotuma fedha za ujenzi wa barabara kwa halmashauri yoyote nchini ambayo imetumia fedha walizopelekewa kinyume na malengo yaliyokusudiwa. Na amemwagiza Meneja wa Bodi ya Mfuko wa Barabara kuzichukulia hatua halmashauri zote ambazo zimetumia fedha hizo tofauti na malengo yake ikiwa ni pamoja na kutopelekewa fedha mpaka hapo watakapozijeresha fedha walizozitumia. “Ongezeni nguvu zaidi katika...

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Mheshimiwa Ummy Mwalimu (Mb) Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais alifanya ziara ya kukagua Mazingira Mkoani Mtwara hususan katika eneo la Mdenga, Manispaa ya Mtwara. Chimbuko la ziara hii ni malalamiko yaliyotolewa na wananchi kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Mheshimiwa Abdulrahman Kinana alipokuwa kwenye ziara ya kikazi mkoani humoAfisa Uhusiano wa kampuni ya SBS, Bw. Geofrey Kanenge (katikati) akitoa maelezo kwa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu (Mb) (wa...

 

10 years ago

Michuzi

Ziara ya naibu waziri maji mkoani Njombe

Naibu Waziri Maji,Mh. Amos Makalla ametembelea mamlaka ya maji na usafi wa mazingira mkoani Njombe (NJUWASA) na kutembelea vyanzo vya maji vya Magoda,Hagafilo,Njenga na Kibena pia Amekagua ujenzi wa mradi wa kuboresha maji mji wa Njombe kuanzia kwenye chanzo cha Mto Njenga,ulazaji mabomba na matanki makubwa.
Mradi wa Njenga utagharimu kiasi cha sh. 3.5 bilioni na tayari umeshagharimu sh 2.2 bilioni na utakamilika mapema machi mwaka huu na kuongeza upataikanaji maji kutoka asilimia 43 hadi...

 

10 years ago

StarTV

Wafanyabiashara soko la SIDO walalamika ubovu wa barabara.

Na Amina Saidi,

Mbeya.

Wafanyabiasha na wachukuzi wa mizigo katika Soko la Mchele la Sido jijini Mbeya wamelilalamikia Shirika la kuhudumia Viwanda Vidogo nchini SIDO na Halmashauri ya jiji hilo kwa kushindwa kuwaboreshea barabara za ndani ya soko hilo.

 

Wamesema kwa miaka mingi kinapofika kipindi cha mvua, biashara zao zinakuwa mashakani kwa kuwa wateja wao wakiwemo wenye magari makubwa wanashindwa kuingia sokoni hapo kutokana na kuwepo kwa matope mengi.

 

Katika eneo hili wananchi hununua...

 

11 years ago

Michuzi

ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAJI AMOS MAKALLA MKOANI MOROGORO

 Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla ( wa kwanza kulia ) akisikiliza jambo kutoka kwa Mtaalamu wa  mradi wa Millennium Challenge Account (MCT), Sean Osullisan   wakati  alipotembelea  machujio ya kusafisha na kutibu maji eneo la Mafiga , kwenye  miradi ya maji ya  Mamlaka ya Majisfi na Usafi wa Mazingira Manispaa ya Morogoro (MORUWASA).
 Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla ( wa kwanza kulia ) akisikiliza jambo kutoka kwa Mtaalamu wa  mradi wa Millennium Challenge Account (MCT), Sean...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani