Rufaa ya Blatter na Platini yakataliwa
Maombi ya rais wa FIFA Sepp Blatter na makamu wa rais wa shirikisho hilo Michel Platini ya kupinga kusimamishwa kazi kwa siku 90 waliowekewa na kamati ya Fifa yamekataliwa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania20 Nov
Rufaa ya Blatter, Platini zakataliwa
ZURICH, USWISI
RUFAA iliyokatwa na Rais wa Shirikisho la Soka la Dunia (FIFA) aliyesimamishwa, Sepp Blatter pamoja na Rais wa Vyama vya Soka barani Ulaya ‘Uefa’ Michel Platini, kupinga kusimamishwa kwa siku 90 zimekataliwa na kamati ya rufaa ya shirikisho hilo.
Blatter na Platini walisimamishwa tangu Oktoba mwaka huu na kamati ya maadili ya Fifa kwa muda wa siku 90 kupisha uchunguzi juu ya tuhuma za rushwa zinazowakabili viongozi hao.
Blatter alianza kukumbwa na kashfa hiyo mara baada ya...
9 years ago
Bongo519 Nov
Rufaa za Blatter, Platini zakataliwa
![blatter1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/blatter1-300x194.jpg)
Hatimaye rufaa iliyokatwa na Rais wa FIDA aliyesimamishwa Sepp Blatter pamoja na rais wa UEFA Michel Platini kupinga kusimamishwa kwa siku tisini, zimekataliwa na kamati ya rufaa ya shirikisho hilo la soka.
Blatter na Platini, walisimamishwa mwezi Oktoba na kamati ya maadili ya FIFA kwa muda wa siku tisini kupisha uchunguzi juu ya tuhuma za rushwa zinazowakabili viongozi hao wa juu.
Wote wamekana makosa yao na sasa watakata rufaa katika mahakama ya usuluhishi wa michezo (CAS)
Platini...
9 years ago
BBCSwahili19 Nov
Rufaa ya Blatter ,Platini yagonga mwamba
9 years ago
Dewji Blog22 Dec
Blatter na Platini wafungiwa miaka 8 kutojihusisha na soka, Blatter achukua uamuzi huu
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Rais wa Shirikisho la Dunia la Soka (FIFA), Sepp Blatter (kushoto) na Rais wa UEFA, Michel Platini wamefungiwa miaka 8 kutojihusiaha na soka na kamati ya maadili ya FIFA kwa kosa la kutumia mamlaka yao vibaya kwa kosa la matumizi mabaya ya fedha za FIFA.
Blatter na Platini wanadaiwa kuwa mwaka 2011, kugawiana pesa kiasi cha Euro Milioni 1.35 ambapo Blatter alimlipa Platini kama malipo kwa kazi ya kuwa mshauri wa Blatter mwaka 1999-2002.
Licha ya kuwafungia miaka...
9 years ago
BBC![](http://c.files.bbci.co.uk/599C/production/_86804922_seppblatter_getty.jpg)
Blatter, Platini 'should be sanctioned'
9 years ago
BBC![](http://c.files.bbci.co.uk/12D73/production/_87317177_sepp_blatter_michel_platini.jpg)
Blatter and Platini get lengthy bans
9 years ago
BBCSwahili27 Sep
FIFA:Blatter na Platini wachunguzwa
9 years ago
Mtanzania24 Nov
Blatter ampa Platini urais Fifa
RAIS wa Shirikisho la Soka Duniani (Fifa), Sepp Blatter, amesema anaamini Michel Platini ana nafasi kubwa ya kuwa rais wa shirikisho hilo.
Blatter mwenye umri wa miaka 79, alitangaza kujiuzulu wadhifa wake ikiwa ni siku nne tu mara baada ya kuchaguliwa kuwa rais kwa awamu ya tano, sababu za kutangaza kujiuzulu ni kutokana na kashfa ya rushwa.
Platini kwa sasa yupo kati ya watu watano ambao wanawania nafasi hiyo ya urais, ambapo uchaguzi utafanyika Februari 26 mwakani.
Hata hivyo, Platini na...
10 years ago
BBCSwahili28 Aug
FIFA :Platini asema hatampinga Blatter