Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rwiza, Kessy kusimamia mechi za CAF

SHRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limewateua Watanzania Alfred Rwiza na Lina Kessy kuwa makamishna wa mechi za shirikisho hilo zitakazochezwa wikiendi ya Februari 14. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Somalia yalenga kushiriki mechi za CAF

Rais wa shirikisho la soka Somalia Adbi Qani anatumai kwamba taifa lake litashiriki katika michuano ya kombe la Afrika mwaka 2019

 

9 years ago

BBCSwahili

CAF yairuhusu Sierra Leone kuandaa mechi

Shirikisho la soka barani Afrika (Caf) limesema Sierra Leone sasa iko huru kuwa mwenyeji wa mechi za kimataifa na kanda.

 

11 years ago

GPL

Mechi tano za Yanga zaiondoa Simba Caf

Na Sweetbert Lukonge
ENDAPO  Yanga na Azam zitafanikiwa kushinda mechi zake tano kati ya tisa zilizobakiza, zitakuwa zimeinyima Simba nafasi ya kushiriki tena michuano ya kimataifa inayosimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika (Caf). Msimu uliopita Simba ilikosa nafasi ya kushiriki michuano hiyo ya kimataifa baada ya kushindwa kufanya vizuri ligi kuu na kuziacha Yanga na Azam zikiiwakilisha Tanzania kwenye michuano hiyo ya...

 

11 years ago

Michuzi

Malinzi Ajitambulisha Rasmi Kwa Rais wa CAF, Issa Hayatou Jijini Cairo,Misri Akisindikizwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya CAF Leodegar Tenga

 Rais wa TFF, Jamal Malinzi (kushoto) akimkabidhi zawadi Rais wa CAF, Issa Hayatou Makao Makuu ya CAF jijini Cairo, Misri. Rais wa TFF, Jamal Malinzi (kushoto) akiwa na Rais wa CAF, Issa Hayatou na mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya CAF, Leodegar Tenga Makao Makuu ya CAF jijini Cairo, Misri. --- Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limemwahidi ushirikiano Rais waShirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi. Ahadi hiyo imetolewa juzi (Februari 21 mwaka huu) makao makuu ya...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Gudluck Rwiza — Udambwe Udambwe

Video ya msanii chipukizi, Gudluck Rwiza ya wimbo wake ‘Udambwe Udambwe’ uliotayarishwa na Bob Manecky. Video imeongozwa na Ezzy Viper. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

New Video: Gudluck Rwiza — Udambwe Udambwe

Video ya msanii chipukizi, Gudluck Rwiza ya wimbo wake ‘Udambwe Udambwe’ uliotayarishwa na Bob Manecky. Video imeongozwa na Ezzy Viper. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

IPPmedia

Kessy stirs CA with remarks on Zanzibar


IPPmedia
Kessy stirs CA with remarks on Zanzibar
IPPmedia
Constituent Assembly security officials escort CA member Ally Kessy (C-foreground), apparently for his safety and comfort, as he leaves National Assembly grounds in Dodoma yesterday. Heated debate rocked the House yesterday following remarks by a ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani