Somalia yalenga kushiriki mechi za CAF
Rais wa shirikisho la soka Somalia Adbi Qani anatumai kwamba taifa lake litashiriki katika michuano ya kombe la Afrika mwaka 2019
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili05 Apr
CAF:Morocco kushiriki katika michuano
Shirikisho la soka barani Africa CAF limethibitisha kuwa Morocco itashiriki katika mechi za kufuzu kwa dimba la Afrika mwaka 2017.
10 years ago
MichuziMAKOCHA 35 KUSHIRIKI KOZI YA LESENI C YA CAF
Kozi hiyo itaendeshwa na Mkufunzi wa CAF, Sunday Kayuni na itafanyikia Mchikichini College ambapo washiriki wote wanatakiwa kuwasilisha vyeti vyao vya ukocha vya ngazi ya Kati (Intermediate) pamoja na vyeti vya kitaaluma vya elimu ya sekondari (academic).
Washiriki wa kozi hiyo ni Abdulmaliki Nemes (Airport FC), Ahmed Haule...
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/76178000/jpg/_76178357_hayatou.jpg)
Caf mourns ex-Somalia captain Shangole
The Confederation of African football pays tribute to Somalia's first captain Mohamed Qalaf Aden Shangole, who has died.
11 years ago
Tanzania Daima22 Jan
Rwiza, Kessy kusimamia mechi za CAF
SHRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limewateua Watanzania Alfred Rwiza na Lina Kessy kuwa makamishna wa mechi za shirikisho hilo zitakazochezwa wikiendi ya Februari 14. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/GO1Rm-PT2ppqzvoYONixoqv6ShZlux6XyrjFJOpu*XzSsjEMuEzzUTYr0qnm3ULcN*p92CTm4NGYs2PAyn4S4d4lUrWUgRG8/2.jpg?width=650)
Mechi tano za Yanga zaiondoa Simba Caf
Na Sweetbert Lukonge
ENDAPOÂ Yanga na Azam zitafanikiwa kushinda mechi zake tano kati ya tisa zilizobakiza, zitakuwa zimeinyima Simba nafasi ya kushiriki tena michuano ya kimataifa inayosimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika (Caf). Msimu uliopita Simba ilikosa nafasi ya kushiriki michuano hiyo ya kimataifa baada ya kushindwa kufanya vizuri ligi kuu na kuziacha Yanga na Azam zikiiwakilisha Tanzania kwenye michuano hiyo ya...
9 years ago
BBCSwahili07 Dec
CAF yairuhusu Sierra Leone kuandaa mechi
Shirikisho la soka barani Afrika (Caf) limesema Sierra Leone sasa iko huru kuwa mwenyeji wa mechi za kimataifa na kanda.
9 years ago
BBCSwahili18 Dec
Jeshi lashinda mechi ya kihistoria Somalia
Historia imeandikwa katika ulimwengu wa soka Somalia baada ya mechi ya nyumbani kuonyeshwa moja kwa moja kwenye runinga.
9 years ago
BBCSwahili17 Dec
Mechi kuonyeshwa runingani mara ya kwanza Somalia
Mechi ya mpira wa kandanda ya klabu za nyumbani itapeperushwa moja kwa moja kupitia runinga kwa mara ya kwanza katika historia ya Somalia leo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania