Saba wa kigeni hawatoshi
Licha ya Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kubadili kanuni ya usajili wa wachezaji wa kigeni kwa kuongeza idadi kutoka watano mpaka saba, Yanga na Azam zimeonyesha kutofurahishwa na uamuzi huo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima18 Oct
Wauguzi wa ‘machizi’ hawatoshi
RAIS wa Chama cha Wauguzi Tanzania, Paul Magesa amesema lipo tatizo la uhaba wa wauguzi nchini hasa wanaoshughulikia wagonjwa wa akili. Akizungumza na Tanzania Daima ofisini kwake Dar es Salaam...
11 years ago
GPL‘MR UWAZI’ AGAWA ZAWADI SABA SABA KWA WASOMAJI
Mr. Uwazi akimkabidhi zawadi msomaji wa gazeti la Uwazi. Msomaji akinunua gazeti na kupiga picha na Mr. Uwazi…
10 years ago
MichuziBENKI YA DCB YAWAPA KIPAUMBELE WA WAJASIRIMALI KATIKA MAONESHO YA SABA SABA
Baadhi ya wateja wakiwa katika banda la wajasiriamali walionufaika na huduma za kibenki na DCB katika meonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa katika viwanja vya Mwalimu Nyerere. Afisa Mauzo wa Benki ya DCB,Tatu Shija( katikati) akiwa na wajasiriamali walionufaika na huduma za kibenki na DCB wakinyesha bidhaa zao katika meonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa katika viwanja vya Mwalimu Nyerere. Afisa Mauzo wa Benki ya DCB, Rashid Ngwali (amenyosha mkono) akitoa maelezo kwa wananchi...
11 years ago
MichuziSHIRIKA LA POSTA TANZANIA LATOA HUDUMA MBALIMBALI MAONESHO YA SABA SABA
Wafanyakazi wa shirika la Posta wakiwa katika picha ya pamoja katika banda lao ndani ya maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam. Mmoja wa Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania,akimuelezea mmoja wa wateja wao aliefika kwenye banda lao kwa ajili ya kufahamu huduma mbalimbali zitolewazo na shirika hilo,kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea...
11 years ago
MichuziWIZARA YA NISHATI NA MADINI YANG’ARA KWENYE MAONESHO YA SABA SABA
Mjiolojia Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Bw. Mwara Shoo akitoa maelezo kwa mmoja wa wananchi waliotembelea banda la Wizara ya Nishati na Madini kwenye maonesho ya kimataifa ya Saba Saba yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.Afisa Utaalam Elekezi kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Mhandisi Advera Mwijage akitoa elimu kwa wananchi waliotembelea banda hilo.Wataalam kutoka Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi...
11 years ago
GPLPSPF YAPATA MWANACHAMA MPYA NDANI YA MAENESHO YA SABA SABA
Meneja Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Abdul Njaidi, (Kushoto), akimkabidhi kadi ya uanachama, Mwnaachama Mpya wa Mfuko huo, Peter A Mfuru, (Kulia), baada ya kujiunga jana kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam jana. Katikati ni Afisa Mifumo ya Kompyuta Mwandamizi, Mariam Saleh. Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Abdul Njaidi, (Kushoto), akitoa maelezo ya namna...
10 years ago
MichuziMFUKO WA PENSHENI WA LAPF WASHIRIKI MAONESHO YA SABA SABA 2015
Banda la Mfuko wa Pensheni wa LAPF liloko katika kiwanja cha Mwl. Nyerere kwenye maonyesho ya Sabasaba 2015. LAPF ipo banda namba 22 karibu na banda CELLO na SIDO mkabala na banda la Elimu Mwanachama wa LAPF akifurahia kupatiwa Taarifa ya michango yake ambayo ni mmoja ya huduma utakayoipata kwenye banda la LAPF ukitembelea banda hilo Wanachama na wageni waliotembelea banda la LAPF wakipata fursa ya kujiandikisha kwenye mfumo wa uchangia wa hiari, kupata vitambulisho, pamoja na...
11 years ago
MichuziBENKI YA EXIM KATIKA MAONYESHO YA 38 YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA SABA SABA
Meneja wa Biashara Kubwa na Uwekezaji wa kibenki wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Justin Wambali (Kushoto) akiwaelezea wateja watarajiwa juu ya huduma zitolewazo na benki hiyo walipotembelea banda la benki hiyo katika Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa Jijini Dar es Salaam ya Saba Saba. Wapili kushoto ni Afisa Mauzo, Irene Joachim na Afisa Uhusiano, Cosmas Nade (watatu kushoto).Meneja wa Biashara Kubwa na Uwekezaji wa kibenki wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Justin Wambali (Kushoto) akimpa...
11 years ago
Michuzi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania