Wauguzi wa ‘machizi’ hawatoshi
RAIS wa Chama cha Wauguzi Tanzania, Paul Magesa amesema lipo tatizo la uhaba wa wauguzi nchini hasa wanaoshughulikia wagonjwa wa akili. Akizungumza na Tanzania Daima ofisini kwake Dar es Salaam...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y4MVF3b94yKEq0zL6lrq-jWDR0vdZ5I-T-x*M4Wk38Qdab2YSwApzDcTCrRAOwj9a8FmNBfx0RLbqQ8P*5kPcrYrv2smfuwS/nesiiiii2.jpg?width=650)
JK AUNGANA NA WAUGUZI KUSHEREHEKEA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI JIJINI ARUSHA JANA
10 years ago
Mwananchi22 Jun
Saba wa kigeni hawatoshi
11 years ago
Michuzi12 May
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/79FAz6LP6Hist607QABydkvwa*imv8lmCNxE20Zlg4DxM*bHlyyBbo2LLMFpWNqOJTohUFw*v*q8SbmVYDwIVjFHIHpjAFYa/wema.jpg?width=650)
WEMA AZUA TIMBWILI GLOBAL, AJIITA YEYE NI CHIZI KULIKO MACHIZI WOOTE!
11 years ago
Mwananchi28 Feb
Changamoto kwa wauguzi
11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
Wauguzi kujinoa Marekani
CHAMA cha Wauguzi Tanzania (Tana), kimesaini mkataba wa makubaliano na Shirika la Colom Foundation Inc kuendesha mafunzo ya uuguzi yatakayofanyika nchini Marekani. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
Wauguzi nchini wapewa somo
WAUGUZI nchini wametakiwa kufahamu kuwa wao ni nguzo muhimu katika sekta ya afya na kufanya kazi kwa uaminifu na uadilifu, ili waweze kukumbukwa na jamii pindi watakapostaafu. Kauli hiyo ilitolewa...
10 years ago
Mwananchi30 Dec
DC abaini mchezo mchafu wa wauguzi
9 years ago
Mtanzania01 Oct
Madaktari, wauguzi wataka mabadiliko
Na Deogratias Kishombo, Bukoba
TAASISI nne zinazojihusisha na masuala ya afya ya binadamu, zimekubaliana kwa pamoja kuunga mkono mabadiliko katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu.
Taasisi hizo ni Jumuia ya Madaktari Tanzania (MAT), Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) Jumuia ya Wafamasia Tanzania (PST) pamoja na Jumuiya ya Madaktari Wasaidizi Tanzania (AMEPTA).
Viongozi wa taasisi hizo walitoa tamko hilo la pamoja katika Ukumbi wa Hoteli ya Mtakatifu Theresa, mjini Bukoba mkoani Kagera...