Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SABABU 8 ZAFUTA UCHAGUZI ZANZIBAR!

Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya Zanzibar Jecha Salum Jecha . MBAYA! Huku Watanzania wakiwa na shauku ya kujua mbivu na mbichi juu ya matokeo ya uchaguzi mkuu, Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar (Zec) imetangaza rasmi kuufuta uchaguzi huo na matokeo yake hadi pale itakapotangazwa upya huku sababu nane zikitajwa kusababisha. Akizungumza na waandishi wa habari jioni jana visiwani Zanzibar, mwenyekiti wa tume hiyo, Jecha Salum...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Sababu 8 za kufutwa kwa uchaguzi Zanzibar

Hizi ndozo sababu nane zilizotolewa na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi wa kisiwani Zanzibar kuhusu kufutiliwa mbali kwa uchaguzi wa eneo hilo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90

am4

Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.

Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti  wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.

 

10 years ago

Michuzi

TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR YATANGAZA MAJIMBO YA UCHAGUZI ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Jecha Salim Jecha akito taarifa kwa vyombo vya Habari juu ya majimbo ya uchaguzi ya Zanzibar. Kuona majimbo yote ya uchaguzi zanzibar, BOFYA HAPA

 

9 years ago

Vijimambo

TUME YA UCHAGUZI YA ZANZIBAR YAFUTA UCHAGUZI WA ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha ametangaza kufutwa kwa uchaguzi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar mpaka hapo itakapotangazwa tena.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kenya na Tanzania zafuta machozi Cecafa

Kenya na Tanzania zilifuta machozi ya kubanduliwa kutoka mechi za kufuzu kwa Kombe la Dunia kwa kuandikisha ushindi mechi zao za kwanza Cecafa nchini Ethiopia.

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yafutwa, uchaguzi kurudiwa baada ya siku 90

am4

Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.

Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti  wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde visiwani Zanzibar.

Modewji blog itawaletea taarifa zaidi hapo baadae.

 

9 years ago

Michuzi

WAJUMBE WA BARAZA LA WAKILISHI WA CUF ZANZIBAR WAMEPINGA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA ZANZIBAR KUFUTWA

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiWAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wa Chama chama Wananchi (CUF)wamepinga matokeo ya uchaguzi uliofanyika hivi karibuni kufutwa  kutokana na mtu aliyefanya utenguzi huo ni utashi wake na sio Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC).
Wajumbe 27 wa baraza hilo wamewasili jijini Dar es Salaam kuzungumza na waandishi wa habari juu ya kizungumkuti cha matokeo ya uchaguzi kufutwa huku wakiwa wenyewe hatambui hatua hiyo.
Akizungumza  mmoja wa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

TUICO yataja sababu za kususia uchaguzi TUCTA

CHAMA Cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri (TUICO) kimeeleza sababu za kutoshiriki uchaguzi wa Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (TUCTA). Akizungumza jana...

 

9 years ago

Habarileo

Dovutwa: Vijana msipigane kwa sababu ya uchaguzi

MGOMBEA urais kupitia chama cha UPDP, Fahmi Dovutwa amewataka vijana kuacha kupigana kwa ajili ya uchaguzi ila mapambano yao wayaelekeze katika kupigania ardhi inayoporwa na kuwaacha maskini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani