Dovutwa: Vijana msipigane kwa sababu ya uchaguzi
MGOMBEA urais kupitia chama cha UPDP, Fahmi Dovutwa amewataka vijana kuacha kupigana kwa ajili ya uchaguzi ila mapambano yao wayaelekeze katika kupigania ardhi inayoporwa na kuwaacha maskini.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLSABABU YA WANANDOA VIJANA KUHAMIA KWA WAZEE HII HAPA
9 years ago
BBCSwahili28 Oct
Sababu 8 za kufutwa kwa uchaguzi Zanzibar
9 years ago
Habarileo15 Nov
Wanane wapoteza ndoa Z’bar kwa sababu za uchaguzi mkuu
ATHARI za uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, zimeanza kujitokeza Zanzibar ambapo jumla ya wanawake wanane wamepoteza ndoa zao baada ya kulazimishwa kupiga kura kinyume na matakwa yao, kinyume na demokrasia ya mfumo wa vyama vingi.
9 years ago
Vijimambo08 Sep
Sababu 10 kwa nini John Magufuli atashinda uchaguzi Mkuu wa Urais 2015
Uchaguzi Mkuu
1. Tanzania bara na visiwani yako majimbo ya uchaguzi 266, CCM imesimamisha wagombea Ubunge katika majimbo yote 266 huku Chadema na washirika wake wa Ukawa wakiwa wamesimamisha wagombea katika majimbo 211 (138 toka Chadema). Kati ya majimbo hayo 266, CCM tayari imepita bila kupingwa majimbo 7. Ukichukua majimbo 259 yaliyobaki na kutoa 211 ambayo Chadema na washirika wake wamesimamisha wagombea unabaki na majimbo 48 ambayo CCM haina upinzani wa Chadema wala washirika wake wa...
10 years ago
MichuziMBIO ZA URAIS 2015: MCHUNGAJI MTIKILA WA DP, FAHMI DOVUTWA WA UPDP,MAXMILLIAN LYIMO WA TLP WACHUKUA FOMU ZA UTEUZI ZA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI NEC
10 years ago
Raia Tanzania13 Jul
Elimu ya uchaguzi inahitajika kwa vijana
HUU ni mwaka wa uchaguzi, ifikapo mwezi wa nane nchi itakuwa katika harakati za kutafutwa rais wa awamu ya tano kurithi kiti cha Rais Jakaya Kikwete.
Mbali ya nafasi ya rais, nafasi nyingine zitakazowaniwa ni Wabunge na Madiwani kujaza nafasi zinazoachwa au kupigania nafasi moja katika majimbo au kata.
Lakini Watanzania wengi ambao wanaaminiwa kupiga kura ili kupatikana maamuzi ya mwisho ya kuwaweka madarakani viongozi hao wanashindwa kutimiza wajibu wao wa kushiriki kupiga...
9 years ago
Dewji Blog05 Jan
Uchaguzi Mkuu 2015 na changamoto kwa Wanawake na Vijana
Pichani juu ni baadhi ya viongozi na wajumbe muhimu katika Mtandao wa Wanawake wa Katiba na Uchaguzi ukizungumza na vyombo vya habari kuainisha changamoto wanazokumbana nao wanawake na usawa kwenye siasa.
Kulia ni Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli (sasa ni Rais wa Tanzania) akihutubia katika mikutano yake ya kampeni 2015.
UCHAGUZI Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2015 uliokuwa na historia ya pekee kiushindani umemalizika tangu Oktoba 25, 2015....
9 years ago
MichuziVijana msitumike kwa maslahi ya Chama chochote cha siasa - Tume ya taifa ya uchaguzi
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa wito kwa vijana kutojihusisha na vitendo vya fujo katika kipindi hiki cha kampeni badala yake waelekeze nguvu na juhudi zaidi katika kujenga uchumi wa taifa.Akiongea katika mkutano uliowakutanisha NEC na wawakilishi wa vijana kutoka mikoa mbalimbali nchini Makamu Mwenyekiti wa Tume, Jaji mkuu Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Hamid Mahmoud Hamid (pichani) alisema kuwa vijana wasitumike na vyama vya siasa kama kichocheo cha fujo .
“Vijana...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar03 Oct
Mwenyekiti wa Tume Ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva Amshangaa MBOWE Kwa Kuhamasisha Vijana Kubaki Vituoni Kulinda Kura
Mwenyekiti wa Tume Damian Lubuva Saturday, October 3, 2015 MWENYEKITI wa Tume ya Taifa Uchaguzi nchini Jaji Mstaafu Damian Lubuva, ameeleza kushangazwa na kauli zinazotolewa na baadhi ya vyama vya siasa wakiwahamasisha wafuasi wao hasa kundi […]
The post Mwenyekiti wa Tume Ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva Amshangaa MBOWE Kwa Kuhamasisha Vijana Kubaki Vituoni Kulinda Kura appeared first on Mzalendo.net.