Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SABBY AMFUNIKA MKE WA BOB JUNIOR KWA MAHABA!

Stori: IMELDA MTEMA
MSANII anayechipukia kwa kasi katika anga la filamu Bongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amefunguka kuwa kwa kipindi kifupi ambacho amezama kwenye penzi la staa wa Bongo Fleva, Raheem Rummy Nanji ‘Bob Junior’, amempa mahaba mazito kiasi cha kumfanya asimkumbuke aliyekuwa mkewe. Msanii wa filamu Bongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ akipozi na 'Bob Junior' kimahaba. ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SABBY: BOB JUNIOR AMENIBADILISHA MAVAZI

Na Imelda Mtema
MSANII anayekuja kwa kasi katika tasnia ya Filamu Bongo, Sarbrina Omary ‘Sabby Angel’ amefunguka kuwa  mwanamuziki, Rummy Nanji ‘Bob Junior’ ambaye kwa hivi sasa ndiye mpenzi wake amembadilisha mavazi yake aliyokuwa akivaa awali kabla hawajawa pamoja. Msanii anayekuja kwa kasi katika tasnia ya Filamu Bongo, Sarbrina Omary ‘Sabby Angel’ akipozi. Akizungumza na Amani,...

 

10 years ago

GPL

SABBY AHAMA KISA KUMKIMBIA BOB JUNIOR

Stori: Hamida Hassan na Imelda Mtema
STAA wa filamu za Kibongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’  ameamua kuhama jiji la Dar kwa nia ya kumkimbia Bob Juniour ambaye hakuthamini penzi lake. Staa wa filamu za Kibongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ akipozi. Akizungumza na waandishi wetu, Sabby alisema kuwa ameona Bob Junior  hamthamini ndiyo maana ameamua kukimbia na kuelekea nchini Kenya akaendelee na...

 

10 years ago

GPL

WEMA, BOB JUNIOR LIVE, WATUMIA DAKIKA 10 KUONYESHANA MAHABA

Na Musa Mateja
LICHA ya Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ kuwahi kufikishwa kortini na Mbongo Fleva, Raheem Rummy Nanji ‘Bob Junior, wamebambwa ‘live’ wakioneshana mahaba niue, Amani lina tukio zima. Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ akiwa mapajani mwa Mbongo Fleva, Raheem Rummy Nanji ‘Bob Junior'. TUJIUNGE TEGETA, DAR
Ishu hiyo iliyopigwa chabo na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Sabby Ajisifu Kwa Mahaba

MSANII anayechipukia kwa kasi katika anga la filamu Bongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amedai ni mtaalamu zaidi pale linapokuja suala la mahaba.

Sabby alisema kuwa anajiamini mno katika hilo kwani ni jukumu la mwanamke kumpa mapenzi mazito mtu yule anayempenda kwa dhati.

 “Sio kwamba najisifu, lakini ukweli lazima katika mahaba uwe mjuzi wa hayo mambo ili hata mumeo au mpenzi wako asitoke nje kabisa,” alisema. Kuhusu kazi zake za filamu, alisema ataendelea kuhakikisha anatesa zaidi ili...

 

10 years ago

Bongo5

Bob Junior azungumzia kuchelewa kwa kolabo yake na Chameleone, pamoja na ujio wa ablam ya ‘Ukweli Wangu’

Mwanamuziki na producer wa Sharobaro Record, Bob Junior amezungumzia sababu ya kuchelewa kwa kolabo yake na nyota wa Uganda, Jose Chameleone pamoja na ujio wa ablam yake itwayo ‘Ukweli Wangu’. Bob Junior Akizungumza na Bongo5 leo, Bob Junior alisema sababu kubwa iliyosabisha kuchelewa kutoka kwa wimbo huo, ni Chameleone kuwa busy sana na kushidwa kukaa […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bob Junior ajipanga upya

BAADA ya kimya cha muda mrefu, mkali wa muziki wa kizazi kipya na muandaaji wa muziki huo, Rahim Rummy ‘Bob Junior’, amesema anatarajia kurudi upya akiwa na kazi yake ya ‘Bolingo’. Akizungumza Dar es Salaam jana,...

 

11 years ago

Bongo5

New Music: Bob Junior — Bolingo

Rais wa Masharo Baro Bob Junior huu ndo wimbo wake Mpya unaitwa “Bolingo” Producer akiwa ni yeye mwenyewe ngoma imefanyika katika Studio za Sharo baro Records

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani