Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sabby Ajisifu Kwa Mahaba

MSANII anayechipukia kwa kasi katika anga la filamu Bongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amedai ni mtaalamu zaidi pale linapokuja suala la mahaba.

Sabby alisema kuwa anajiamini mno katika hilo kwani ni jukumu la mwanamke kumpa mapenzi mazito mtu yule anayempenda kwa dhati.

 “Sio kwamba najisifu, lakini ukweli lazima katika mahaba uwe mjuzi wa hayo mambo ili hata mumeo au mpenzi wako asitoke nje kabisa,” alisema. Kuhusu kazi zake za filamu, alisema ataendelea kuhakikisha anatesa zaidi ili...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SABBY AMFUNIKA MKE WA BOB JUNIOR KWA MAHABA!

Stori: IMELDA MTEMA
MSANII anayechipukia kwa kasi katika anga la filamu Bongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amefunguka kuwa kwa kipindi kifupi ambacho amezama kwenye penzi la staa wa Bongo Fleva, Raheem Rummy Nanji ‘Bob Junior’, amempa mahaba mazito kiasi cha kumfanya asimkumbuke aliyekuwa mkewe. Msanii wa filamu Bongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ akipozi na 'Bob Junior' kimahaba. ...

 

9 years ago

Bongo5

Nuh Mziwanda: Sioni tatizo kwa msanii kuonesha mahaba kwa chama anachokipenda

Nuh Mziwanda amewataka wasanii kuwa wazalendo kwa kuonyesha hisia zao za vyama vya siasa na kuonyesha ushirikiano katika kuhamasisha. Akizungumza na Planet Bongo ya East Africa Radio leo, Nuh alisema maendeleo yatakayopatikana ni manufaa kwa watanzania wote kwa ujumla. “Wewe ukiwa msanii sio kwamba sio mwananchi wa kawaida,” alisema. “Wewe pia unahitaji kutawaliwa vizuri. Unahitaji […]

 

9 years ago

Raia Mwema

Mikoa ya kusini na mahaba niue kwa CCM

WIKI iliyopita nilirejea baada ya kufanya safari ya mikoa ya kusini.

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

GPL

WEMA, DIAMOND WAZINDUA GARI KWA MAHABA

Stori: Richard Bukos
Mahaba nimalize! Mastaa wapendanao, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ wamesababisha tukio jipya kama kawaida yao, safari hii wameishtua kadamnasi kwa kuzindua gari jipya kwa mahaba mazito ndani yake, Ijumaa Wikienda lilinyaka mchongo mzima. Mastaa wapendanao, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’...

 

9 years ago

Raia Mwema

Mahaba ya TFF kwa Yanga na hatma ya soka letu

MAFANIKIO ya Soka la Tanzania yanategemea sana nidhamu, juhudi na moyo wa dhati wa kujitoa kwa wa

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

GPL

WEMA SEPETU AELEZA ‘MAHABA’ YAKE KWA MAKAMBA!

Brighton Masalu MTOTO ‘laini’ kunako tasnia ya urembo na filamu Bongo, Wema Sepetu ameeleza kwa hisia kali jinsi anavyompenda Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia, Mhe. January Makamba katika utendaji kazi wake. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1TcExSo  

 

10 years ago

GPL

SABBY, CYRILL WANASWA!

Imelda Mtema/mchanganyiko
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Cyrill Kamikaze ‘Cyrill’ na Mbongo Muvi Sabrina Omary ‘Sabby’ hivi karibuni walinaswa katika ufukwe wa Hoteli ya Golden Tulip, Masaki jijini Dar wakiwa kimahaba na hivyo kuzidisha tetesi kuwa wanatoka kimapenzi. Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Cyrill Kamikaze ‘Cyrill’ na Mbongo Muvi Sabrina Omary ‘Sabby’ wakipozi...

 

10 years ago

GPL

SABBY: WASANII TUPIME HIV

Na Imelda Mtema
MSANII anayekuja kwa kasi anga la filamu Bongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amewaasa wasanii wenzake kujali afya zao kwa kupenda kupima ugonjwa wa Ukimwi mara kwa mara. Msanii anayekuja kwa kasi anga la filamu Bongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’. Akizungumza na mwandishi wetu, msanii huyo alisema kuwa kungekuwa na taratibu kabisa za kupima ugonjwa huo si kwa nia mbaya ili kuweza...

 

10 years ago

GPL

SABBY: NATAMANI PENZI LA DIAMOND

Hamida Hassan Staa wa filamu na muziki, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ hivi karibuni amefunguka siri iliyokuwa kwenye uvungu wa moyo wake kwamba analitamani sana penzi la mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ ila anaumia kwa kuwa anajua amechelewa.  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1Pa0bB8

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani