SABBY: NATAMANI PENZI LA DIAMOND
Hamida Hassan Staa wa filamu na muziki, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ hivi karibuni amefunguka siri iliyokuwa kwenye uvungu wa moyo wake kwamba analitamani sana penzi la mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ ila anaumia kwa kuwa anajua amechelewa.  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1Pa0bB8
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLPENZI LA WEMA, DIAMOND...UCHAWI!
10 years ago
GPLDIAMOND ATESEKA NA PENZI LA WEMA!
11 years ago
GPLLULU: MIMI NIMPE PENZI DIAMOND..!
10 years ago
GPLBABY MADAHA ATAMANI PENZI LA WEMA, DIAMOND
11 years ago
GPLAUNT ALIANGUSHIA MAOMBI PENZI LA DIAMOND, WEMA
10 years ago
Bongo Movies13 Jan
Mfahamu kwa undani zaidi mwanadada ZARI wa Uganda aliyetibua penzi la WEMA na Diamond. Ni tajiri balaaa!
INA Zari hivi sasa limekuwa jina maarufu katika masikio ya Watanzania, Afrika Mashariki na kwingineko hasa baada ya mwanadada huyo mfanyabiashara na mwanamuziki wa Uganda kuwa na urafiki na Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nassib Abdul maarufu kwa jina la usanii Diamond Platnum.
Kwenye mitandao ya kijamii kama Tweeter, Facebook, Instagram na hata Whatsapp lazima utakutana na jina Zari akiunganishwa na Diamond na wengine wataunganisha na Wema Sepetu aliyewahi kuwa mpenzi wa Diamond.
Uhusiano...
10 years ago
GPLSABBY, CYRILL WANASWA!
10 years ago
GPLSABBY: WASANII TUPIME HIV